ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Anasema zake sio za Wananchi... kuna rais huko kaachia mshahara wake wa Mwaka mzima uende ukatumike kwa Watoto yatima yeye hapokei hata 100 Mwaka mzima... huyu yeye anachota hela za Wananchi machawa wanakenua mipapa yao wanasema hela za MamaAiseeeeeee
Zile anazotapanya kwenye magoli je
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations."Duniani kote hakuna fedha inayoitwa ya serikali; serikali ni mratibu tu. Miundombinu yote inayojengwa ni fedha yenu [wananchi], iwe imekusanywa siku hiyo hiyo au iwe ya mkopo." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mkoa wa Lindi
Chanzo: Swahili Times
Zikishakuwa madeni ndio zinageuka za wananchiSi tulikubaliana hela zote ni za 🕜💯!!!!
Kumetokea nini tena!
ndo wamejua leo? Mbona kipindi wanasema millions,billions za mama hawakukumbuka kusema ni za wananchi?"Duniani kote hakuna fedha inayoitwa ya serikali; serikali ni mratibu tu. Miundombinu yote inayojengwa ni fedha yenu [wananchi], iwe imekusanywa siku hiyo hiyo au iwe ya mkopo." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mkoa wa Lindi
Chanzo: Swahili Times