Mwigulu hana ulinzi kama aliokuwa nao Hayati Magufuli, wala Samia hawezi mpa ulinzi huo! Wahuni sio watu wazuri!

Mwigulu hana ulinzi kama aliokuwa nao Hayati Magufuli, wala Samia hawezi mpa ulinzi huo! Wahuni sio watu wazuri!

Japo sikukubali kabisa we jamaa kutokana na uongo uongo wako, na uzushi uzushi wako kuzushia watu vitu vyq uongo. Hata hivyo, licha ya wewe kuwa muongo na mzushi, lakini hata saa mbovu, wakati wote huwa inasema uongo, ila kuna wakati mmoja tuu, kwa nukta moja ya sekunde, saa mbovu huwa inasema kweli!, hivyo hili ulilosema hapa ni kweli, kuwa kama ni wale wahuni wameamua kumpotezea, then hatoboi!. Hili hata mimi nimesema hapa Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

P
Moja ya watu waliofikisha tasinia ya habari hapa pabovu pa kuwa na mijitu kama gereshoni ni wewe na WENZAKO
Kuniita Mimi saa mbovu ni ukosefu wa adabu Mimi kutukanwa na jitu Zima kama wewe uwa najiis vibaya naisi kichefu xhefu
 
Mimi uwa najiis vibaya naisi kichefu xhefu
Pole sana kwa kujisikia kichefuchefu, ni kawaida kwa wengi zikiwa changa zina sumbua sana, ili kuzuia kutapika nakushauri uwe unatembea na kipande cha ndimu, ukisikia kichefuchefu, unalamba ndimu, kinatulia!.
Vumilia tuu, ikikomaa, kichefuchefu kitaacha!.
 P
 
Back
Top Bottom