Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
ok.๐View attachment 3665465
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
Kiongozi hapimwi kwa vazi alivaalo.. hupimwa kwa uwezo wake wa kuongoza.View attachment 3665465
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
Msimuue mfukuzeni tuView attachment 3665465
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
๐ซView attachment 3665465
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
Wewe ukija mbinguni tunakufukuzaAmekaa kama anasikiliza kinyesi kitoke ๐
Mm mbinguni nije kufanya nn, naenda zangu jehanamu kuuza nyama choma ๐Wewe ukija mbinguni tunakufukuza
Unamuuzia nani kila mtu anatoa milio yake kule hakuna mambo ya misosi wala mifereji ya pombeMm mbinguni nije kufanya nn, naenda zangu jehanamu kuuza nyama choma ๐
Kutakuwa na break time, ndo muda wa kupiga pesa hapo bila kusahau kuuza maji ya baridi ili kuwapoza na joto ๐Unamuuzia nani kila mtu anatoa milio yake kule hakuna mambo ya misosi wala mifereji ya pombe
FIsadi, chawa na asiye na akili.View attachment 3665465
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
Yeye mikono yake misafi?Msimuue mfukuzeni tu
Hata yeye anafahamu hilo, ndio maana wanatumia nguvu kubwa hata ikibidi kutoa hai za mamia ya watu.View attachment 3665465
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
usisahau Alli Kibao naye alikuwa ni mtu na familia yake.Msimuue mfukuzeni tu