😀😀Wewe ukija mbinguni tunakufukuza
😀😀Wewe ukija mbinguni tunakufukuza
Na bahati nzuri kwa Mwigulu, mlianza kumsema vibaya akiwa mbunge wa kawaida tu 2010 - 2015. Lakini tangu kipindi hicho amekuwa akipanda you vyeo hadi kufikia cheo NAMBA TATU Serikalini! Nyie bado mpo mnalialia tu! Ahahahahaha!!View attachment 3665465
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
HahhaMm mbinguni nije kufanya nn, naenda zangu jehanamu kuuza nyama choma 😎
Hakuna break. time kule kijana mdhambi, we tamba kabisa ukifika kule ni humu tu!Kutakuwa na break time, ndo muda wa kupiga pesa hapo bila kusahau kuuza maji ya baridi ili kuwapoza na joto 😎
UmejuajeHakuna break. time kule kijana mdhambi, we tamba kabisa ukifika kule ni humu tu!
Mimi ndio representative wenu😎Umejuaje
Msalimie kaka shetMimi ndio representative wenu😎
Sema kaka shetaMsalimie kaka shet
😃😃😃😃😃😃Huyo mpumbavu wakati ule wa Magufuli alipopewa cheo skafu ya bendera ya taifa ilikuwa haimtoki shingoni siku alipotumbuliwa kesho yake hakuonekana nayo tena mpaka aliporudia maigizo wakati wa huyu bibi.
Njaa tu huyo hana uzalendo wowote!
Huyu ni fisadi na muuaji mkubwa hafai kabisa hata huu Uwaziri Mkuu kapewa kimakosa tuView attachment 3665465
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
Mwigulu hana. tofauti na walokole feki,full makelele ya maombi ila uzinzi na ushetani mwanzo mwishoView attachment 3665465
Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa.
Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu.
Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe?
Nawasilisha baba yenu.
Anaweza kuwa rais siku Moja huko mbeleniTangu aropoke kuwa eti Watanganyika wanaojihisi kuelemewa na tozo wanaweza kuhamia Burundi nilimdharau sana! 🚮
View attachment 3665543
Aliwahi sema hvyo?Kawaingiza Chaka KKKT eti Rais ajaye ni Mluthri Daaaah... matokeo yake KKKT imewekwa kundi moja na BAKWATA...
Si Tanzania hata kama tayari tushakuwa naye wa ajali na mbayaAnaweza kuwa rais siku Moja huko mbeleni
Ni kweli. Hana tofauti na akina Gwajima, Mwakasenge na wengine washenzii wanaojitiatia kuwa waumini wakati ni majambazii ya kawaida/ Lenyewe linaonekana afya yake ugogolo kama bosi wake.Mwigulu hana. tofauti na walokole feki,full makelele ya maombi ila uzinzi na ushetani mwanzo mwisho
😃😃😃😃😃😃Amekaa kama anasikiliza kinyesi kitoke 😎