Mwigulu hata angevaa ramani ya Tanzania hamshawishi mtu kuwa rais Tanzania

Na bahati nzuri kwa Mwigulu, mlianza kumsema vibaya akiwa mbunge wa kawaida tu 2010 - 2015. Lakini tangu kipindi hicho amekuwa akipanda you vyeo hadi kufikia cheo NAMBA TATU Serikalini! Nyie bado mpo mnalialia tu! Ahahahahaha!!
 
Kawaingiza Chaka KKKT eti Rais ajaye ni Mluthri Daaaah... matokeo yake KKKT imewekwa kundi moja na BAKWATA...
 
Huyu ni fisadi na muuaji mkubwa hafai kabisa hata huu Uwaziri Mkuu kapewa kimakosa tu
 
Mwigulu hana. tofauti na walokole feki,full makelele ya maombi ila uzinzi na ushetani mwanzo mwisho
 
Mwigulu hana. tofauti na walokole feki,full makelele ya maombi ila uzinzi na ushetani mwanzo mwisho
Ni kweli. Hana tofauti na akina Gwajima, Mwakasenge na wengine washenzii wanaojitiatia kuwa waumini wakati ni majambazii ya kawaida/ Lenyewe linaonekana afya yake ugogolo kama bosi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ