Mwigulu: Hazina iko mikono Salama

Mwigulu: Hazina iko mikono Salama

Nchi ina mchwa hatari

Halafu kutucheza shere wanatwambia pesa zetu ziko salama kwenye mikono salama.

Sawa na fisi anayetulindia bucha atwambie minofu ya nyama itakuwa salama tupumzike tu nyumbani.

Kwa kweli wametudharau sana.
 
Amesikika waziri Mwigulu kuwa hazina yetu iko salama na zaidi sana Iko mikono salama:

View attachment 2580607

Kwa mwendo huu waziri Mwigulu analenga kusema nini hasa?

View attachment 2580617
View attachment 2580615
View attachment 2580620
View attachment 2580621

Na kadhalika na kadhalika hadi chefu.
Mwigulu kaongea vizuri sana , na ameonyesha sasa umuhimu wa katiba ,

Anasema kama rais angeamua kuweka usiri hata hao wabunge wasio kuwa wabunge wasingejua kitu maana yake nini,

Maana yake katiba ya sasa inamfanya rais kuwa mfalme kipi afanye na kipi asifanye kama vile nchi ni ya ukoo wake
 
Halafu kutucheza shere wanatwambia pesa zetu ziko salama kwenye mikono salama.

Sawa na fisi anayetulindia bucha atwambie minofu ya nyama itakuwa salama tupumzike tu nyumbani.

Kwa kweli wametudharau sana.
Kweli wanatuchezea shere, wanatu enjoy
 
Nchi ngumu sana hii!!!
Wasomi wanaongoza kwa upumbavu
Hivi unadai billion kadhaa halafu unaemdai humjui? Hata mtu ambae hakwenda shule hawezi kuwa mjinga hv
Kama wananchi hawajitambui kwanini pesa zisipigwe tu??!wananchi ndio wapumbavu,na hili litapita tu tusubiri ripoti nyingine tena.
 

Alisema mwuungwana:

"A church on its knees is more powerful than an army on its feet."

FtGNzEbWYAAqaIt~4.jpg
 
Kama wananchi hawajitambui kwanini pesa zisipigwe tu??!wananchi ndio wapumbavu,na hili litapita tu tusubiri ripoti nyingine tena.

Dhidi ya wakora hawa lazima kuwa tayari kujitoa sadaka:

 
Si ndio maana wanatuchezea tu, Wakuwachukulia hatua naye analalamika kwetu!!yaani wazungu wakati mwingine huwa bara la Afrika wanaliona ni kama chaneli ya VICHEKESHO!!
Nje ya sufuria suluhu ni kuliinjika juu ya mafIga, na kuchochea kuni:

IMG_20211119_091739_123.jpg
 
Gazeti la Nipashe lijitafakari sana.
 
Kwani anayetafuna hazina ni Waziri wa Fedha?

Uzuri hao wote waliohusika ikibainika ni kweli watawajibishwa.
Kwani wenye dhamana ya kushikilia na kuilinda hazina yetu ni nani?

FtHA4BjXwAEJB4j.jpeg


Kama inatafunwa ni upi usalama wa mikono anayosema hazina imo?

Screenshot_20230408-180625.jpg


Au kwa uelewa wako tunakabiliwa na majini?
 
Back
Top Bottom