Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

fasiliteta

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
2,372
Reaction score
4,090
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa

Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu.
Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili
Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha)

Mnataka tuishije sasaa?

Najiuliza inamaana waziri Huyu wa fedha ameshindwa kutumia elimu yake ya kiuchumi ktk ulimwengu wa sasa ktk kupata kodi?

Hivi kweli Sasa hivi kwa technology ya Dunia unataka mtu atoke Mbagala apelekwe hela tegeta badala ya kutuma kwa mtandao kosa tu Makato ni makubwa kuliko nauli ya bus kufata/kepeleka hela?

Mnataka tuanze kutuma hela kwa bus?

Mamlaka ya uteuzi ndo wameridhika kabisaa Mwigulu kuwa waziri wa Fedha?

Dkt. Mpango umeamua kwa makusudi kukaa kimya Bila kumshauri mama samia mambo ya kiuchumi?

Nn anajua Mwigulu Kuhusu uchumi zaidi ya janja janja ya kuwazidishia wananchi mzigo wa gharama ya Maisha.

Na bora waseme watafanya maendeleo.

Kinachouma wanatukamua fedha kwa ajili ya posho zao za vikao na per diem.

Hivi Mwigulu si ndo Huyu juzijuzi Zaid ya 1.4 billion zimepigwa akiwa waziri wa Fedha.

MWIGULU, HE MUST RESIGN
 
Nchi hii tunaonewa sanaaaaaaa.

Ifike mahali tuseme inatoshaaaaaaa,tunakabwa koo watu wanaenda kulipana posho.

Ni nani mtu wa kukusanya fedha aseme anapeleka kwenye maendeleo?

Wanakusanya wanapanga vikao na semina uchwara kisha wanapiga.

Mwigulu ondoka ofisiniiiii
 
Ebu tulia, kwani budget ni Dr. Mwigulu anapitisha, yeye anatoa proposals tu, Bunge ndio linapitisha budget, akiwemo mbunge wako, muulize mbunge wako, sbb zilizopelekea alikubali budget kuipitisha. Sio Mwigulu, umeelewa? Mwigulu ni mtoa hoja tu, waliokubaliana na hoja kupita waulize, mpigie mbunge wako
 
Ebu tulia, kwani budget ni Dr. Mwigulu anapitisha, yeye anatoa proposals tu, Bunge ndio linapitisha budget, akiwemo mbunge wako, muulize mbunge wako, sbb zilizopelekea alikubali budget kuipitisha. Sio Mwigulu, umeelewa? Mwigulu ni mtoa hoja tu, waliokubaliana na hoja kupita waulize, mpigie mbunge wako
Hivi kuna mtu ambaye ana mbunge kwenye hilo bunge la Serikali?
 
Back
Top Bottom