Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
They never care about thisNdio viongozi wetu hawajuhi kuwa development ni inclusive ni vizuri kushirikisha wananchi ili hata Kodi ikiwepo isiwe inaumiza Sana wananchi na serikali ipate, shida watu wakipata madaraka huwa wanajiona Wana akili kuliko raia, wao wanaendeshwa kwenye ma viete in polepole voice, wanalipiwa bills na kila kitu so hawajui shida za raia wa chini misoto tunayoipata. A good leader lazima ajitahidi kuvaa viatu vya Raia wake wa chini bana