Mwigulu kamuwahi huyu Mgambo, ila angemuacha angesema Kuhusu mauaji ya Oktoba 29

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Machi 9, 2026 alizungumza na Wananchi wa Namanyere, Mkoani Rukwa.

==========

Huyu mgambo kuna kitu alitaka kusema Mwigulu akamuwahi kwa kumuuliza kiasi cha pesa anachodai ili kuepusha dhahama, nadhani angemuacha dakika moja tu angesema walitumwa kuua watu waliondamana tarehe 29 Oktoba.

Video yote ya tukio hilo iko hapa:

View: https://www.youtube.com/watch?v=yvGWhR5a9N0​
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Machi 9, 2026 alizungumza na Wananchi wa Namanyere, Mkoani Rukwa.

==========

Huyu mgambo kuna kitu alitaka kusema Mwigulu akamuwahi kwa kumuuliza kiasi cha pesa anachodai ili kuepusha dhahama, nadhani angemuacha dakika moja tu angesema walitumwa kuua watu waliondamana tarehe 29 Oktoba.

Kamanda wa mgambo huyu hapa!
Screenshot_20260308-092128~2.png
 
Back
Top Bottom