Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

Hili lichama limejaa watu wa ajabu mno.

Yako busy kubambikia watu kesi badala ya kushughulika na mambo ya msingi.

Utashangaa hili gazeti linaweza fungiwa.

CCM si chama cha siasa bali ni kikundi cha watu wachache kwa masilahi yao.
Hilo ni gazeti gani haina ht jina. Hao ni wazushi wakifungiwa wanaanza kuomba huruma ya serikali.
 
Hili lichama limejaa watu wa ajabu mno.

Yako busy kubambikia watu kesi badala ya kushughulika na mambo ya msingi.

Utashangaa hili gazeti linaweza fungiwa.

CCM si chama cha siasa bali ni kikundi cha watu wachache kwa masilahi yao.
Kule kwa nyumbu umesahau mpk makamu m/kiti amelalamikia rushwa hadharani? Bora CCM huko kwengine ni uozo
 
Hao ndio mafisadi wa CCM. Wako kwenye uongozi kwa ajili ya kujinufaisha. Kwenye bajeti hii wameamua kukarabati viwanja vyao vya mpira wanavyovimiliki ndio maana wakafuta kodi ya nyasi bandia.

Rais HAWEZI MFANYA CHOCHOTE MWIGULU.
Huna ushahidi we bwege. Upotoshaji wowote unaumeza tu bila ht kauchambuzi kadgo? We km si mwehu sijui
 
Back
Top Bottom