Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

Msimchafue MWIGULU....

Mpelekeeni VITUMBUA John Pambalu .....
 
hata hivyo hafai kuwa wazir wa fedha hata kidogo hana karama hiyo analazimishwa tu
 
Hivi ni kingozi gani atakayekaa sekta nyeti kama ya Waziri wa Fedha na kutengeneza sera zinazohitaji maamuzi magumu halafu asitafutiwe zengwe?

Hizi kelele za Mwigulu atumbuliwe ni wivu tu usio na msingi kutoka kwa haters. Kazi kwa mama ni je ataweza kuread through the mind of haters na wanachokitaka? Hao hao wanaomtaka Mwigulu atumbuliwe ndio hao hao wanaomwambia mama ni dikteta kuliko mtangulizi wake.
Mpango amekaa hapo sijasikia zengwe au unalo utuambie
 
Utawala wa JK kila uzushi alitupiwa Ridhiwani, utawala wa Magu alikuwa Makonda, naona utawala wa Samia ni Mwigulu, waTZ tuna shida sana
 
Utawala wa JK kila uzushi alitupiwa Ridhiwani, utawala wa Magu alikuwa Makonda, naona utawala wa Samia ni Mwigulu, waTZ tuna shida sana
 
Huyu Madelu anaweza asidumu kwenye hiyo nafasi yake!

Huyu Bi. Mkubwa wetu muda si mrefu anaweza akamuengua jamaa.
Waarab wa Pemba hujuana kwa vilemba. Nitakuwa wa mwisho kuamini kama huyo Mama alimteua Mwigulu pasipo kujua!

Ccm ni ile ile! Na Baba yao ni mmoja.
 
Back
Top Bottom