Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Ni kweli ila Chadema nayo is no better tena naweza kusema wao watakuwa balaa zaidi kutokana na kuwa na hasira ya kulipiza kisasi.Hili lichama limejaa watu wa ajabu mno..
Yako busy kubambikia watu kesi badala ya kushughulika na mambo ya msingi.
Utashangaa hili gazeti linaweza fungiwa.
CCM si chama cha siasa bali ni kikundi cha watu wachache kwa masilahi yao.