Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

'
JamiiForums1388510795_360x450.jpg
 
Maccm yamebakiza kufanya biashara ya majeneza,ila ukute hiyo habari mama ameibariki ili amchinjilie mbali huyu bwege anaeota urais 2025
 
Utawala wa JK kila uzushi alitupiwa Ridhiwani, utawala wa Magu alikuwa Makonda, naona utawala wa Samia ni Mwigulu, waTZ tuna shida san
Chunguza kwanza hizo tuhusu za uliowataja je ni tuhuma gan? Na je zilikua na ukwel wowote?
 
Though ukiwa ccm upo juu ya Sheria walioifirisi nssf kina dau mbona wanadunda.Anayeshughulikiwa kufungwa na kufukuzwa Kazi ni watumishi wadogo wadogo waliopokea elf 5 au 10 .Majizi makubwa ya ccm huwa yanahamishwa tu wizara.
Na hilo nimehoji sana zile zama tulizokuwa tunaambiwa taifa linapambana na ufisadi!! Mara kwa mara nilitoa changamoto hapa nitajiwe mtu mmoja TU ambae ni high profile politician or top government executive aliyewahi kufanywa chochote kwa tuhuma za ufisadi!

Hadi sasa sijatajiwa hata mmoja as if mafisadi wa nchi hii ni watumishi wa umma wa ngazi za kati!
 
Vita ya ufisadi ilikuwa ni hadaa na fimbo ya kuwachapia wasiotaka kuisujudia Sanamu.Thus Hakuna swahiba yeyeto aliyekutwa na ushahidi wa ngozi amewahi shughulikiwa.
Wapinzani wangekuwa ndio mafisadi wote wangeozea jela
 
Ajabu, kuna watu wakadanganyika na hadaa ile! Tena wengine unakuta ni watu wasomi kabisa!!!
 
Hili gazeti la kufungia mihogo ndio liliandika ole sabaya ni billionea , wapuuzi sana linatumiwa na mbowe na genge lake

USSR
Muhimu ni kufahamu sababu ya kupunguza kodi za michezo ya kubahatisha ni nini? Iwe ni gazeti la hovyo au hata ukuta wa choo cha umma, tunachotaka ni sababu ya kodi mpya ni nini?
 
Back
Top Bottom