Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

Hili lichama limejaa watu wa hovyo mno.

Yako busy kubambikia watu kesi badala ya kushughulika na mambo ya msingi.

Utashangaa hili gazeti linaweza fungiwa.

CCM ni laana kwa hii nchi.
Chama cha majambazi hicho Mkuu...
Majambazi yote ya Tanzania yapo ccm
 
Madelu alipanda ghafula na hata kuonekana ni mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali ya SSH.

Ila matukio kama ya tozo kandamizi kwenye miamala ya simu na kashfa kama hizi (hata kama ni za uongo) huenda zikamkwamisha huko mbeleni.

Inawezekana pia kuna kundi la watu wasiompenda Mwigulu au wasiotaka aendelee kuwa waziri wa fedha hivyo watafanya lolote wawezalo ili kumchafulia jina.
 
Na hapa ndipo unapokuja ku-judge umakini wa SSH kama kweli ana tofauti yoyote na waliomtangulia hata kama siku chache za mwanzo alitaka kujionesha yupo tofauti na Magu! Hivi mtu wa hovyo kama Mwigulu unampa vipi ofisi nyeti kama MoF?...
Mnaoambana na sheria za nchi ndio kinavhowapa tabu mtahesabu Sana marais

USSR
 
Madelu alipanda ghafula na hata kuonekana ni mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali ya SSH.

Ila matukio kama ya tozo kandamizi kwenye miamala ya simu na kashfa kama hizi (hata kama ni za uongo) huenda zikamkwamisha huko mbeleni.

Inawezekana pia kuna kundi la watu wasiompenda Mwigulu au wasiotaka aendelee kuwa waziri wa fedha hivyo watafanya lolote wawezalo ili kumchafulia jina.
Mwigulu ndio alianzisha tozo hata akili kidogo hamna

USSR
 
Huyu Madelu anaweza asidumu kwenye hiyo nafasi yake!

Huyu Bi. Mkubwa wetu muda si mrefu anaweza akamuengua jamaa.
Bi Mkubwa nae ni Mnafiki tu kwani alishaonywa mapema na baadhi ya Waandamizi wa System kuwa asimteue nadhani Waganga wa Kienyeji wa Singida walimzidi uwezo na kujikuta anamteua tu wakati ni threat hata Kwake pia Politically.
 
Kisa tu watu wanazua majungu? Kama kumuondoa amuondoe kwa kutotimiza wajibu inavyotakiwa.....
Mwigulu ni mwanasiasa, mvuto wa kisiasa ukitetereka anakaa pembeni kwanza, rais hawezi akavumilia kutukanwa mfululizo kwa ajili ya waziri, rule of game.
 
Madelu alipanda ghafula na hata kuonekana ni mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa ndani ya serikali ya SSH.

Ila matukio kama ya tozo kandamizi kwenye miamala ya simu na kashfa kama hizi (hata kama ni za uongo) huenda zikamkwamisha huko mbeleni.

Inawezekana pia kuna kundi la watu wasiompenda Mwigulu au wasiotaka aendelee kuwa waziri wa fedha hivyo watafanya lolote wawezalo ili kumchafulia jina.
Anajulikana kwa Upigaji tokea akiwa ndani ya Chama ( CCM ) kwa Vyeo alivyokuwa navyo na kwa nafasi za Uwaziri alizowahi Kushika na hakuna analosingiziwa nalo ila hujui kwakuwa Wewe si mfuatiliaji mzuri wa Mambo makubwa na mazito yaliyojificha.
 
Back
Top Bottom