Kweli tunatakiwa tuambiwe ni nini maana ya mambo haya. Hivi kupiga pushap hizo zinanisaidia nini mimi? Jamani, mbona mnafilisika kipuuzi hivyo??
Badala hata kutuambia huu umeme mna mpango gani nao mnaenda kufurama hadharani?? What is this?? Hivi huko nje wanatuonaje jamani?? Ati rais anaenda kufurama mbele za watu na ulimwemgu mzima unamwangalia, halafu vichaa wengine wanamuunga mkono.
Kama kura ndo mnataka, mmezipata. Sisi sio kina Mayweather. ccm kwisha, kwisha kabisaaa, mlalo wa chaliiii, ndembe ndembeeee