Mwigulu,KIgwangalla,Gulamali na Diwani wa kata ya Shimbo Wanamuunga MKono Magufuli kwa Push Up

Mwigulu,KIgwangalla,Gulamali na Diwani wa kata ya Shimbo Wanamuunga MKono Magufuli kwa Push Up

Push up sio sifa ya kumpeleka Magufuli ikulu, hapa ni ccm mmefanya nini miaka 54 na plan yenu ni nini.. Na katka sifa hizi mmefeli mpishe waje timu ingine yenye plan mpya kwa maendeleo ya inchi yetu... Ccm tambueni kuwa hii inchi sio mali yenu ni mali ya watanzania na ndyo wenye maamuz ya mwisho.. Tanzania ipo daima lakn ccm ni chama tu ambacho kinapita kesho hakutakuwepo kabisa... Watanzania tunataka rais sio mpiga push up
 
CCM imesababisha ukosefu wa ajira kwa vijana,, umasikini ,elimu duni.... CCM lazima iachie madaraka..imewanyonya watanzania vya kutosha..ni wakati wa mabadiliko huu..kura zote kwa lowasa

Mbona unajizunguka mwenyewe. Sisi tulikua mawaziri wakuu au hao mlio nao. Eti nitaunda tume ya wafugaji 😕 yani anashindwa kufanya mwenyewe hadi aunde tume ya Gwajima mshauri mkuu. Maskini ni buleeeeee
 
12047141_429451910590376_8969802085456891_n.jpg
Mwigulu,KIgwangalla,Gulamali na Diwani wa kata ya Shimbo wakionesha Uimara wao wa kiafya "Wanamuunga MKono Magufuli kwa Push Up"
Tanzania ujinga ujinga mwingi sana. Push ups za nini sasa?
 
Hahahaaaa humjui anayepakuliwa? Ni yule anayeshindwa kuzuia kinyesi kisitoke mpaka anaenda kubadilisha nguo ndio aendelee kuhutubia,huyo hatufai banaa,akiwa kwenye mkutano UN atatuaibisha. Kura zetu zoooooooote kwa mtu aliye fit,kama hamjui Ikulu kuna GYM ulizeni msiropke ila hakuna wodi ya wagonjwa pale. Peleka Muhimbili akachekiwe tundu lina athari gani

This is beyond politics. Mungu hadhihakiwi mkuu
 
Ujinga ni pale unapomchagua kiongozi kwasababu ya push up tu.
 
Hawa watakuwa wanataka kumfurahisha Magufuli ili kama maajabu ya musa yatatokea akaukwaa urais awakumbuke kuwapa uwaziri
 
Back
Top Bottom