PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ikulu ya babaako ndio hakuna gym bali hospitali.
siku hizi hakuna kazi tena ila pushapu tu.
Nasikia eti mmebadirisha kaulu mbiu, sasa hv mnasema hapa pushapu tu, kazi kwenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikulu ya babaako ndio hakuna gym bali hospitali.
Hahahaaaa humjui anayepakuliwa? Ni yule anayeshindwa kuzuia kinyesi kisitoke mpaka anaenda kubadilisha nguo ndio aendelee kuhutubia,huyo hatufai banaa,akiwa kwenye mkutano UN atatuaibisha. Kura zetu zoooooooote kwa mtu aliye fit,kama hamjui Ikulu kuna GYM ulizeni msiropke ila hakuna wodi ya wagonjwa pale. Peleka Muhimbili akachekiwe tundu lina athari gani
Wagonjwa huwa hawafanyi push ups.siku hizi hakuna kazi tena ila pushapu tu.
Nasikia eti mmebadirisha kaulu mbiu, sasa hv mnasema hapa pushapu tu, kazi kwenu.
Mwigulu,KIgwangalla,Gulamali na Diwani wa kata ya Shimbo wakionesha Uimara wao wa kiafya "Wanamuunga MKono Magufuli kwa Push Up"
Wagonjwa wako wanaletwa kutoka lndia na wengine kata ya ilala wamekufa,huoni kwamba wagonjwa wako ccm
Ikulu sio GYM... Hao wazee wanatafuta umaarufu kwa vijana.. Vijana wote wa Tamzania kura zetu ni kwa Lowasa tu
Mwigulu,KIgwangalla,Gulamali na Diwani wa kata ya Shimbo wakionesha Uimara wao wa kiafya "Wanamuunga MKono Magufuli kwa Push Up"
Tuna viongozi wajinga sana
Wananchi wanasubiri majibu ya kero zao za i.Maji safi ii.Mgao wa umeme iii.Umaskini wa kipato iv.Huduma mbovu za afya v.Barabara chini ya kiwango vi.Madawa ya kulevya vii.Bei ndogo za mazao,kukosekana kwa masoko na kosefu wa pembejeo kwa wakulima viii.Ajira za upendeleo ix.Rushwa x.Uongozi mbovu n.k;WAO WANAPIGA PUSS UPS!!KATAA DIKTETA,KATAA CCM!!LOWASSA TOSHA!!