Mwigulu: Kodi Mpya kwenye mafuta mwarobaini wa tatizo la barabara Vijijini

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
"Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta"

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
 
Hawa wapuuzi walituaminisha kuna maendeleo makubwa sn kila jambo lipo sawa lakini bado wanakiri kuwa hali ya barabara nyingi ni mbaya, sasa tufuate lipi?
 
Hizo barabara si zitaaribika tu kwani zinatengenezwa kwa lam ndugu
 
TANROADS imechukua tozo la mafuta kwa zaidi ya miaka 20 lakini barabara bado ni tatizo sebuse hizi za TARURA!
 
"Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta
Msitegemee kodi kutoka kwa wanyonge tu, viongozi lipeni kodi kutoka kwenye vipato venu
 
"Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta"

Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
Mwigulu huyu huyu ???
 
Hawa wapuuzi walituaminisha kuna maendeleo makubwa sn kila jambo lipo sawa lakini bado wanakiri kuwa hali ya barabara nyingi ni mbaya, sasa tufuate lipi?
tumia akili japo 0.0002% ya uwezo wako wa kufikiri utapata majibu. ukiwa na maendeleo makubwa unakosa changamoto? mnakera sana nyie
 
Bunge halisaidii serikali katika kutatua changamoto za wananchi,

Hakuna mawazo mbadala namna ya kujikwamua toka huu umaskini ambao unaimbwa Kila kukicha.

Ndio tuseme tuliowapa dhamana wamefikia ukomo??

Je tuendelee kuwapa dhamana ya kuongoza njia kuelekea katika maendeleo??
 
Back
Top Bottom