Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Hawa wapuuzi walituaminisha kuna maendeleo makubwa sn kila jambo lipo sawa lakini bado wanakiri kuwa hali ya barabara nyingi ni mbaya, sasa tufuate lipi?"Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta"
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
Hizo barabara si zitaaribika tu kwani zinatengenezwa kwa lam nduguHawa wapuuzi walituaminisha kuna maendeleo makubwa sn kila jambo lipo sawa lakini bado wanakiri kuwa hali ya barabara nyingi ni mbaya, sasa tufuate lipi?
Usiseme mbaya, yeye amesema MBAYA SANA.Hawa wapuuzi walituaminisha kuna maendeleo makubwa sn kila jambo lipo sawa lakini bado wanakiri kuwa hali ya barabara nyingi ni mbaya, sasa tufuate lipi?
Msitegemee kodi kutoka kwa wanyonge tu, viongozi lipeni kodi kutoka kwenye vipato venu"Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta
Mwigulu huyu huyu ???"Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi wetu wengi kwa kodi hii tumeweka kwenye mafuta"
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba
tumia akili japo 0.0002% ya uwezo wako wa kufikiri utapata majibu. ukiwa na maendeleo makubwa unakosa changamoto? mnakera sana nyieHawa wapuuzi walituaminisha kuna maendeleo makubwa sn kila jambo lipo sawa lakini bado wanakiri kuwa hali ya barabara nyingi ni mbaya, sasa tufuate lipi?