Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hafai kivipi na ni mtaalamu wa Uchumi?Hafai kabisa hata hyo wizara kwake ni mbingu na ardhi
wakurya wamekuwaj tena kama wamasai wa mjini?Waoga sn wale jamaa
Hakuwa na sababu ya kufanya comparison ya hao watatu; good, better, best... Ameonyesha who is the best for personal reasons!Asingemtaja ingemsaidia zaidi kisiasa kuliko alivyomtaja wewe pimbi! Ngoja utaona utakumbuka maneno yangu!!!
Wa siku hizi ni waoga balaa kama wagogowakurya wamekuwaj tena kama wamasai wa mjini?
Hamna lolote jema mlilopata kutoka kwenye ile hotuba? Mlitaka aisome huku anawabusu
Una akili sanaMAMA.....Tunakuomba utuletee Hon Saada Mkuya ktk Wizara ya Mapesa.
Hii mambo ya kisifiasifia ni very much outdated
He must behave so, it appears mzee JK holds the dangerous card.Mwigulu is smart that is the reason he had to invoke Kikwete in his speech as a way of putting his house close to power!!! He is a dangerous dude!!!
Si wanasemaga ni mtoto wa mchepuko wa JK! Kumfagilia baba yako kuna ubaya gani hasa kwa kuwa hayupo JPM 🤔! RIEP&P our forever beloved president Hon Dr JPM 🙏😭!Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba umeleta taharuki kubwa sana ndani na nje ya nchi, kufuatia kauli yako ya Jana kumsifu kinafiki Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Kwa kauli hii nathubutu kusema haina tofauti na kauli ya aliyekua RC wa Mwanza Mr. Albert Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa ukichagizwa na kauli yake ya watu waandikie mabango hata ya matusi ktk kumlaki Rais ziarani Mwanza.
Ni wazi amefanya makusudi kuonyesha kwamba;
1.Mama Samia Suluhu siye anayengoza nchi kama wasemavyo watumiaji wa mitandaoni na hata minong'ono ya baadhi ya wananchi bali ni JK.
Kwamba JK ndio ameshika mpini kwa sasa.
2. Pili kujipendekeza kisiasa kuliko pitiliza baada ya kusoma alama za nyakati huku akitazama Bawa la mama limeelemea upande upi kiuongozi.
3. Muendelezo wa kusifu na kuabudu kama ilivyo ada yake, mtakumbuka enzi za Mwendazake hakuna sifa aliacha toa huku akiitetea serikali iliyopo madarakani hata baada ya uteuzi wake wa waziri wa mambo ya ndani kutenguliwa Kabla ya kuja kurudishwa tena
4. Bado ana ndoto ya Urais, na hapa ndo panapomtoaga akili kabisa hivyo yupo tayari kufanya lolote ili tu safari yake isijeishia njiani hivyo anaendelea kuvuta attention.
Maoni yangu, Huyu bwana Mwigulu utawala uchoke sasa kumbeba na kumuonea aibu ikiwezekana atumbuliwe kabisa.
Kwanza IQ yake ndogo sana kiuongozi ktk wizara wizara ya fedha inayohitaji mtu mwenye uwezo wa Hali ya juu.
Pili ni mnafiki wa kiwango cha lami, Hata mama ikitokea bahati mbaya hayupo leo basi ni wazi ataendelea kucheza na fursa tu(KINYONGA) kulingana na mazingira ilimradi aendelee kuteuliwa na kula mema ya nchi hii.
NI BORA CHEO CHA UWAZIRI WA FEDHA KUBAKI WAZI KULIKO KUENDELEA KUWA NA MWIGULU, HAAMINIKI KABISA HUYU MTU.
Kusifia kulilipa zama zileKwa hiyo akivaa skafu weye unajisikia uchungu?Hebu acheni upukunusi.😂😂😂😂
Kafikiria 2030 huko
Si wanasemaga ni mtoto wa mchepuko wa JK! Kumfagilia baba yako kuna ubaya gani hasa kwa kuwa hayupo JPM 🤔! RIEP&P our forever beloved president Hon Dr JPM 🙏😭!
Believe me, he is next amekaa kwenye kilengeo kama HapiUnafiki wa kiwango cha SGR aliouonyesha...!!!
Hivi kwanini tusitumie huu wimbo badala ya wimbo wa TaifaNilikuwa namwamini, lakini sasa nimeshaona kumbe hana lolote, ndiyo maana watu waligawana fedha, yeye hata hana habari.