Mwigulu kujipendekeza to the Maximum, amfate Chalamila

Anajiingiza kwenye sintofahamu bila sababu za msingi.

Pia ni kutaka kufanya watu waamini anaeongoza ni JK sio mama sasa hilo sio sawa.

Hivi hamjui kwamba mama alishasema hapendi masifa ya kijinga?

Huko ni kumdharirisha mama asipokutumbua ushukuru
 
Asingemtaja ingemsaidia zaidi kisiasa kuliko alivyomtaja wewe pimbi! Ngoja utaona utakumbuka maneno yangu!!!
Hakuwa na sababu ya kufanya comparison ya hao watatu; good, better, best... Ameonyesha who is the best for personal reasons!
Kusifia si tatizo bali hiyo driving motive ya kusifia.
Somehow he was tactical, pale aliposema wa sasa ame pick some characteristics from both, JK and JP. The red card from jp and the yellow from jk.
Watu wenye kufikiri wakisoma au kusikiliza eneo hili watatia shaka tu. Pengine yafaa kupuuza na kusonga mbele. Mbele tutajua zaidi
 
MAMA.....Tunakuomba utuletee Hon Saada Mkuya ktk Wizara ya Mapesa.
Hii mambo ya kisifiasifia ni very much outdated
 
Hata darasani mwanafunzi hujibu swali na kutoa mfano pale inapobidi. Hakuna alichokosea Dr. Madelu Nchemba Mwigulu kwa kutoa mfano wa JK Vs SASUHA.
 
Huyu jamaa kwa kauli zake hizo za kujikomba komba kwa maza hadi anaharibu sidhani atadumu kwenye hiyo position.
 
Mwigulu is smart that is the reason he had to invoke Kikwete in his speech as a way of putting his house close to power!!! He is a dangerous dude!!!
He must behave so, it appears mzee JK holds the dangerous card.
 
Si wanasemaga ni mtoto wa mchepuko wa JK! Kumfagilia baba yako kuna ubaya gani hasa kwa kuwa hayupo JPM πŸ€”! RIEP&P our forever beloved president Hon Dr JPM πŸ™πŸ˜­!
 
Si wanasemaga ni mtoto wa mchepuko wa JK! Kumfagilia baba yako kuna ubaya gani hasa kwa kuwa hayupo JPM πŸ€”! RIEP&P our forever beloved president Hon Dr JPM πŸ™πŸ˜­!

Anafanana na Miraji?
 
Nilikuwa namwamini, lakini sasa nimeshaona kumbe hana lolote, ndiyo maana watu waligawana fedha, yeye hata hana habari.
 
Nilikuwa namwamini, lakini sasa nimeshaona kumbe hana lolote, ndiyo maana watu waligawana fedha, yeye hata hana habari.
Hivi kwanini tusitumie huu wimbo badala ya wimbo wa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…