Mwigulu kujipendekeza to the Maximum, amfate Chalamila

Kwa aliyowahi kuyafanya huyu madelu baada ya kuaminiwa na hayat maguful ni ya hovyoo ,magu akamtumbua,baada ya kubebwa mno lakin ukilaza na mdomo mchafu vikamuangusha,leo kapewa nafas nyeti na rais Samia anaoufanya afadhali ya chizi.ni upuuzi na ujinga mtupu, mwigulu ni kilaza wa kiwango cha lami
 
Ana familia jamani na watoto wanasoma Feza boizi....muwe na huruma🤣🤸🐒
 


Eti naye anaitwa Doctor , hizo ni doctorate za jalalani !!.
 
Viongozi vilaza TZ sio huyu tu mkuu wako wengi Sana soma hata background ya Elimu ya top niyakuunga unga
 
Na kweli atumbuliwe

Hawezi akatujibu sisi vile
 
Ana familia jamani na watoto wanasoma Feza boizi....muwe na huruma🤣🤸🐒


Mbona yeye hana huruma, anasema tukaishi Burundi kama kwamba hii nchi ni yake na sisi ni wapangaji wake na kodi ya miamala ni kodi ya kuishi nchini.--- jamaa ni jeuri kwelikweli. Foulmouthed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…