Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
He’s mtfcn Traitor 🚮View attachment 3593418
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingwa.
Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.
Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.

Ndio maana sisi waislam tunaamini kutakua na siku ya hukumu mbele ya Allah ili maovu yote yaoneshwe na haki ipatikane siku hio.yaliofanyika gizani yaletwe hadharani. Hilo ndio lengo kuu la siku hio.Huyu amechanganyikwa. Mwigulu ni mmojawapo wa wanasiasa wa hovyo sana katika taifa hili.
Kwa sisi tulioona ya Nyerere hadi leo ya Samia, hivi mlidhani Tanzania itashuka standard kiasi hiki?
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi katika Viwanja vya Kichangani kwenye ziara yake ya kikazi ya siku mbili.
"Tunagombanishwa mno. Watu wanapoteza muda hata wa kutafakari kila jambo, kwamba hili limetokeaje.
Unakaa hivi, unasikia sister katekwa. Unakaa hivi, si padri katekwa. Unakaa hivi, nimeona mwingine jana tena... nimeona pale... nimeona mtandaoni pale eti katekwa. Mnaangalia mtu kaumizwa, anapingu.
Hii ni ajenda maalum. Hii ni michezo. Hii ni michezo.
Na hii michezo haijaanza jana. Hii ni michezo haijaanza jana kwa Tanzania, tuamke! Hizi ni ajenda za watu wenye akili wanaolitafuta taifa letu. Ni ajenda za watu wenye akili, hii sio mpuzi mpuzi tu hivi."
Yaani inasikitisha sana😭Zamani nilijua wasomi wote wana akili nyingi
Alaaniwe JKKwa sisi tulioona ya Nyerere hadi leo ya Samia, hivi mlidhani Tanzania itashuka standard kiasi hiki?
100 percent Banana Republic hakuna shaka