Kiranja wa jamii
JF-Expert Member
- Jan 2, 2023
- 1,222
- 2,912
Maswali ni mengi katika hili;
1. Hao waigizaji kwanini hawakamatwi ili wasiendelee kuichafua nchi yetu? Kwasababu wapo wengi wanaooamini hivi vitendo vipo na ni halisi sio maigizo
2. Zamani nilijua cheo cha Waziri Mkuu ni cheo kikubwa sana kinachoheshimika hivyo si rahisi kwa cheo chake Waziri Mkuu kuja hadharani kuongelea vitu asivyokuwa na uhakika navyo kwasababu ana vyanzo vingi vinavyompa taarifa;
Kama haya anayosema waziri Mkuu kwa hadhi yake ni ya kweli, kwanini haagizi vyombo vyake viyakomeshe? Je, cheo na hadhi ya Waziri Mkuu siku hizi vimeshuka?
Kama Waziri Mkuu anaongea haya pasipokuwa na ushahidi wa hayo maigizo, haoni kwamba anashusha hadhi ya cheo hicho?