Mwigulu kuwa makini. Tozo zitakuharibia malengo ya kuwa Rais

hategemei kura, si wataiba,,,
 
Aisee jamaa wewe una akili. Basi hizi tozo ni mchongo wa Rais Samia. Yaani watu wa system walienda kupenyeza kwa Mwigulu ili alete tozo na alaumiwe Mwigulu ili kumharibia ndoto za urais na yeye Mwigulu akaingi bichwa lote, same kwa Makamba bei ya mafuta, kukatika umeme ili alaumiwe Makamba na kumchonganisha na wananchi ili akose ndoto za urais same kwa Nape. Nadhani Mwigulu kama anaona au Makamba au Nape wajihudhuru haraka kulinda nafasi zao kisiasa za baadaye. Ingawa kuielewa hii kitu unahitaji akili za ziada. Ila watu wa system wabaya sana. Ina maana sasa anayechafuka ni hawa mawaziri na siyo Mh. Rais Samia.
 
Kama ni uchawa huu umezidi kiwango chake! Yaani Mwigulu awe Rais wa nchi? Over my dead body! Tutakuwa nchi la hovyo sana kama hata Madela naye anafaa kuwa Rais!
 
Naona wengine tushapewa alert mapema

Ova
 
Yaani Mwigulu awe raisi? Kweli? acheni kuwaza upuuzi jamani!
Yaani ningehamia burundi I swear
 
Kwa Tanzania wala haziwezi muharibia chochote. Tena akishapitishwa kugombea kwa Tiketi ya CCM,kishakuwa Raïs. Watanzania cheo cha Urais huwa tunachagua chama. CCM hata wamteue Katambi kugombea urais. Atashinda tu.
 
Ben = bin, hanafaa = anafaa, mhandamizi = mwandamizi. Nadhani kwa huu usomi wako tukuchague uwe Rais.
Haya nayo ni matatizo ya Tozo[emoji849]
Tumekua na matatizo ya L na R ,dh na th , hili la A na H limeibuka hivi karubuni.
 
Naunga mkono hoja, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
Nakutakia sensa njema
P
 
mNi Africa pekee ndio ina swaga za Marais Vijana. Ulaya karibu yote na America, marais wao hadi Ma speaker ni umri miaka 68 to 82. Tz sijui tunafikiria kinyume nyume!!
Mkuu WAZO2010, ulaya ni ulaya na Afrika ni Afrika
Eti Mwigulu
Shuhudia Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!
au Makamba wawe Rais.
Shuhudia January Makamba, very intelligent, humble, down-to-earth! Can make the best President
Upuuzi mtupu.
Naomba fafanua upuuzi kivipi?
Na mihemko
Fafanua mihemko kivipi?.
zao Wizi,
Wizi gani?
sifa na Umalaya huo.
Sifa gani, Umalaya gani?.
P
 
Huyo ni reject kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…