Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Mwigulu aliongea kwa kulalamika kama mpinzani hizo sera na hoja alizoongea angezifanyie kazi akiwa serikali ningempa kura lakini anasubiri mpaka awe raisi huu usanii wa viongozi wa ccm siyo wa kuwaamini kabisa.
kutafuta mgombea msafi ndani ya ccm ni sawa na kutafuta mwanamke bikra ndani ya wodi ya wazazi.
VOTE FOR UKAWA.
 
Pasco kwa ruhusa yako naomba nifanye masahihisho kidogo kwenye post yako hapo juu, nadhani ingefaa zaidi kama ungeandika hivi;

Pasco, je unakubaliana na madailiko kwenye post yako kama nilivyofanya? Kwamba CCM ndio the most bonafide genuine (whatever that means!) na kwamba their genuinety (whatever that means!) kutoka mioyoni mwao 'to practice what they preach' kwa wanayoyasema yanaonekana kabisa yanatoka mioyoni mwao! Kama unakubaliana na hoja hiyo, sawa, ulichoandika ndicho unachokiamini lakini kama hukubaliani nayo ni kwamba wewe mwenyewe huna genuinety (whatever that means!) na hivyo uliyoyaandika hapo juu says more about you than Mwigulu.

Umesema hutaki kuulizwa maswali, okay, sitakuuliza lolote...
 
Pasco kiasi fulani umeweza kunishawashi .. Binafsi nasubiri demokrasia ya chama ifanye kazi ..
 
Last edited by a moderator:

JK anapendwa na nani? kwa hiyo watanzania wanapenda mpiga soga? kwamba tutafute mpiga soga mwingine ili tuendelee kufaidi soga huku nchi ikitendwa?

BTW. Pasco umehama MV Lowassa?
 
Last edited by a moderator:

Baada ya kumkosa huyu kwenye urais, sasa natupa karata yangu kwenye Uwazi Mkuu!.

Pasco
 
Usijekuwa kama yule ukakatwa tena, anyway mi pia mwigulu namkubali kwa utendaji kazi wake lakini si majaliwa anaewaambia walimu waende vituoni watakuta pesa zao za kujikimu, matokeo yake uongo tuuu vijana wanalala nje
 
Baada ya kumkosa huyu kwenye urais, sasa natupa karata yangu kwenye Uwazi Mkuu!.

Pasco
Pasco huyu hukumtabiria ama?[emoji2] .
Hata mimi.nakubali.aliongea vizuri. Ila alikua muoga kwenye ishu ya ufisadi. Hakua jasiri kabisa
 
Hakuna mtu Genuine CCM ni wale wale, mabingwa wa kuzilelezea shida zetu mkiwapa madaraka watakuja kuwaeleza kitu kile kile wakati wa uchaguzi.
we unasema nini mbona hata ukawa ni walewale tena ambao wamepokelewa kutoka ccm. makapi yaleyale eti tumeyasafisha yamekuwa mapya. hahahaha msijisahau wajameni. mnajua nyani haoni kundule. nilisema upinzani tunahitaji kujitumbua majipu tena kabla hatujaanza kujikweza kwamba ni wasafi. sasa hivi si wasafi, viongozi wakuu ni walewale wenye tuhuma nzito nzito ambazo sisi wenyewe tumekuwa tukizisikia majukwaani kupitia viongozi wetu wa upinzani
 
Kwa sasa 2016 mwambieni akafute uchafu wake alio andika kwenye ma culverts, madaraja, miamba, miti mikubwa kwenye high way zote tanzania mzima
 
Genuine na uanasiasa ni vitu viwili kabisa. Mwanasiasa popote pale duniani hawezi kuwa genuine.
 
Huyu jamaa mvaa bendera..
Kwa sasa ametulia baada yakutuulia watu wetu na mabomu jijini Arusha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…