Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Brother Pasco wakati mwingine predictions zako zina kosea sana
Hata uwaziri wa kilimo unamshinda,zaidi ya nusu mwaka sasa hajatoa mwelekeo wowote wa wizara yake
Lini amezungumzia mbolea,pembejeo,masoko,hifadhi ya mazao, dawa za mifugo,nyavu haramu,kuwawexesha wavuvi,hali ya chakula nk..
Kuvamia machinjioni usiku akiwa na kamera za tv ndio signature yake
 
Nimelikumbuka hili bandiko, namhurumia sana Mwigulu Mchemba, ni too genuine na too truthful kwenye utawala wa juu usiopenda kuambiwa ukweli.

Leo nimemsikia akitangaza kuwa aliyemtolea Nape bastola sio askari polisi, hii maanake asipokuwa polisi then ni wale jamaa. Hivyo kitendo cha Mwigulu kusema sio polisi kinaweza kumgharimu, endapo mhusika ni mmoja wa wale wavaa makirikiri wa kile kikosi maalum cha ulinzi wa Bashite, hivyo Mwigulu mwenyewe it's just a matter of time.

Paskali
 
 
Kufuatia kinachoendelea ndani ya nchi yetu, kwa kauli za Mbunge Zitto, zimethibitisha pasi shaka kuwa Bashite ndiye anayeiendesha ile "idara", kumbe wale jamaa wa makirikiri ni wale "jamaa zetu", kwa kuzingatia kilichomkuta Nape alipotaka kumshughulikia Bashite, na kumbe kwenye baadhi ya haya madudu ya utekaji, Bashite anahusika, kufuatia kuonekana kwa wale makirikiri kwenye uwamizi wa Clouds, na yule aliyekuwa akiwatishia "nyau" wakubwa pale St. Peter pia ni "wale jamaa", hivyo Mwigulu kaamua kujinyamazia, hivyo kwa kuzingatia wasifu wake humu, na baada ya kusoma maoni haya...
Asante kwa hii post, namkumbuka Mwigulu, niliwahi kusema hivi juu ya mtu huyu na bado naamini, we have missed one of the best we have!, but most unfortunately, he is on his way out!.

NB, ukiwa so good ndani ya timu so bad, ukiwa too truthfully ndani ya timu ya hadaa, ukiwa too genuine ndani ya
fake team or counterfeit, huwezi kufit!, hivyo its only a matter of time!.
Hongera sana Mwigulu kwa uvumilivu na ustahimilivu, na pole in advance!.
Paskali
 
We nawe unachusha sasa, mara Mwigulu can make a good president mara Bashite can make a good president tushike lipi.
 
Mwigulu anaipenda Tanzania kiasi kwamba lazima avae bendera ya Taifa kila siku .... kama siyo Tai, ni scuff, T-shirt au kofia!!
 
Nafanya tuu rejea, kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi.

P.
 
Pascal unaruhusiwa kufuta topic na miuono yako baada ya kuona ukweli wa huyu mwana Ilboru mwenzangu. Ni mnafiki wa kutupa
 
Watu wengi wametumbliwa awamu hii lakini hatujawahi kusikia madudu yao yakianikwa
Katika changamoto zote zilizotajwa mbona kutekwa, kupotea kwa watu na mauaji ya watu haiku or of he she a?
 
Anajulikana kwa Upigaji tokea akiwa ndani ya Chama ( CCM ) kwa Vyeo alivyokuwa navyo na kwa nafasi za Uwaziri alizowahi Kushika na hakuna analosingiziwa nalo ila hujui kwakuwa Wewe si mfuatiliaji mzuri wa Mambo makubwa na mazito yaliyojificha.
Madelu (Mwigulu) ni MWIZI na si mwadilifu hata kidogo. It is an open secret na labda ni Samia tu ndio anajifanya kutojua
kuna vingine mnamsingizia !.
P
 
Mi navyofahamu huyu mtu anatafutwa na Interpol.
Na we lazima uelewe wivu wa wanawake. Ukisema huyu anafaa kuwa rais utasikia Cabinet Reshuffle kesho.
 
Na Wewe ile Kura yako Moja tu uliyoipata Jimboni Kawe katika Kura za Maoni CCM ulisingiziwa au ulistahili?
Nilistahili, kwa sababu mkono wangu ni mfupi, watu wanaitwa wajumbe, ni machoni ni kama watu, lakini wajumbe sio watu kabisa!.

Wajumbe wanataka watu wenye mkono mrefu, mkono mtupu haulambwi !.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…