Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa!

Kumbe bunge letu limejaa watu wenye mikono mirefu sio wenye sifa na ridhaa ya wananchi ndio maana wapo kuitetea serikali sio kuwatetea wananchi
 
Kumbe bunge letu limejaa watu wenye mikono mirefu sio wenye sifa na ridhaa ya wananchi ndio maana wapo kuitetea serikali sio kuwatetea wananchi
Wako wabunge wenye sifa, ila kuwa na sifa pekee hakukufanyi mbunge, kinachokupa ubunge ni urefu wa mkono wako na sio sifa na uwezo wako wa uongozi.

Matokeo yake, kuna wenye sifa na uwezo and at the same time ana mkono mrefu. Kundi hili mule bungeni, hutawasikia wakioongea chochote, kule unaongea mkono!. Wabunge kama Nimrod Mkono, Mo Dewji, Rostam Aziz, Sumri, Abood, etc, hawachangii kitu.

Na kuna wabunge ambao hawana sifa ila wana mkono mrefu, hawa ni kelele tuu na kupiga meza, kuunga mkono hoja.

P
 
Uko muwazi Sana P ila kwa hali ya watanzania bunge letu sio la kujaza sana wafanyabiasha ili kuepusha mgongano wa maslahi labda wakiwa na sifa ila tatizo hatuna sheria ya kuweka mipaka ya wazi kutenganisha kati ya uongozi na biashara zao
 
No, not now; huo urais wanautafuta kwa nguvu sana, mpaka kuwaumiza walalahoi, hawa ndio huenda kufanya biashara ikulu.
 
President to be, MWIGULU !!!!
Sasa unamtoa MWIGULU unamweka nani?

Kwa mwigulu, presidency is loading ni muda tu kabla hajawa rais
Mkuu Marytina, naunga mkono hoja na kiukweli huyu jamaa akija kuwa, atakuwa ni mzuri sana, angalia hii assessment ambayo akina sisi tuliisha mmfanyia, he'll make one of the best we have!.

P
 
Kwa maoni yangu wewe ni MBASHIRI na Si MTABIRI maana Mwigulu, sa100 na Mwinyi wote umewabashiria urais.2025
 
Nadhani wanao wanapata tabu Sana, kufumba macho Kila wakisoma mabandiko ya uchawa kama haya
Mkuu MoseKing, ni vile watu humu hatujuani in reality, japo Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa, kuna baadhi ya familia zetu ni very unfortunately hatuzungumzi lugha hii, watoto wetu hawazungumzi Kiswahili, hivyo sijui kama hata jf wanaingia!.
Sisi wengine ni walugaluga na nyumbani kwetu lugha yetu ni kilugaluga tuu!.
P
 
Mkuu Pascal Mayalla naomba status ya hiki as at today baada ya tozo zote za mobile money transactions n zile za Kibenki, is he still in the same status!!?
Mkuu Twilumba , hii sifa ya bonafide genuine bado anayo, ila pia huyu ni wale watu wa kazi mbili mbili!. Ni huyu aliyepewa ile video ya Rwakatare na kuikabidhi kunako!. Hivyo ni mzalendo wa kweli wa taifa hili!.
P
 
Mkuu Twilumba , hii sifa ya bonafide genuine bado anayo, ila pia huyu ni wale watu wa kazi mbili mbili!. Ni huyu aliyepewa ile video ya Rwakatare na kuikabidhi kunako!. Hivyo ni mzalendo wa kweli wa taifa hili!.
P
Je kwa suala la kuja na tozo linamwangusha au linambeba kama mgombea urais?
kuna jamaa anasema akiwekwa Mwingulu na Bakuli yeye anachagua Bakuli!
 
Je kwa suala la kuja na tozo linamwangusha au linambeba kama mgombea urais?
kuna jamaa anasema akiwekwa Mwingulu na Bakuli yeye anachagua Bakuli!
We Twilumba wewe, unakuwa kama huwajui Watanzania!. Ni wepesi wa kulalamika na wepesi wa kusahau, yeyote atakayepitishwa na kile chetu pekee tukipendacho, tunasahau yote!, siku ya siku ikifika ni "unachukua, unaweka waa!."
Hii maana yake kile chetu, kikitupitishia bakuli, Watanzania tunachagua bakuli!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…