Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
hahaaahaa nilikua napitia hili kaburi,siasa za bongo ni burudani tosha aiseeKwani tunaishi nyumbani KWAKO?😄😄😄
Licha ya tozo kubwa kubwa ila
Mkuu nimekupa salute unapambana kufa kupona na hukati tamaa licha ya vijembe na ngebe unazopigwa humu!
Ukiachana na mambo yote wewe ni mpambanaji sana unatetea unachokiamini na hiyo ndio inavyotakiwa katika maisha,
Anyway huwezi kumfurahisha kila mtu katika mambo yako unayofanya japo hata mimi hua nakupiga mawe sometimes ila haitaondoa ukweli wewe ni mpambanaji binafsi!
Aluta continua!