mchakato wa katiba mpya umeanza vizuri na wananch hakika wanahtaji elimu ya mambo gani ya msingi ktk kuchngia,licha ya kuwepo kwa ugeni wa kuleta elimu juu ya mstakabali wa katiba nzuri kuna huyu ndg yetu Mwigulu nchemba,tena mh, mwenye digri ya uchumi,anapeleka hoja ambazo kwa namna moja akiwa na lengo la kupunguza wananch wasiende kusikiliza hotuba ya dr Slaa ktk viwanja vya Kiomboi,real Mh mwigulu ana fikra za kufifisha maendeleo,ni msomi asiestarabika,msomi mwenye mawazo hasi,sijapata ona mh.asiyekuwa na maono ya kumkomboa mtanzania,