Ukitaka serikali inningize pesa mitaani, ni lazima iwe nazo nyingi sana za kuachia, siyoi za kwenda kuomba nje. Na serikali haiwezi kuacha kutekeleza miradi yake, tunashukuru ilishaanza na haitatekelezwa. Sasa ili serikali ipate hel za miradi na pesa za kumwanga mitaani, ni lazima izikusnaye kwenye kodi.