Mwigulu Nchemba agiza gari la maji limwagie uwanjani. Vumbi litawaumiza mashabiki wa Singida big stars.

Dj Laptop yake imeishiwa chaji wenzake wanampa nyingine huku baadhi ya watu wakionekana wanaunga extension mbele ya camera za azam

Mazibgira yanatisha sijui Guede atajisikiaje? Akiona wenzake akina Pacome na Ki kule Dar wanavyowaka atapata stress sanaa

Hilo ni zizi sio uwanja hapo VAR itakaa wapi sasa
 
Timu yenu pia hiyo vyura. Mchezaji wa Chura kupelekwa kule ni kama wewe kuambiwa leo ulale stoo umuachie chumba mgeni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na Kuna la pamba huko mwanza ni kucheza na nyoka nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…