Mwigulu Nchemba atoa siku 14 makampuni ya mawasiliano kutoza kodi zilizokubaliwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali.

Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
 
Kazi iendelee.
Pia ahakikishe sheli zinauza mafuta 2500 ili matajiri waishi kama mashetani na serikali ipate kodi.
 
Kodi ya kuku na baiskeli hajasema inaanza lini.
Mwananchi atakatwa kodi kwenye simu hadi nipige tafu
 
Kwa vile nchi hii imejaa wanafiki na wajinga, Mwigulu kwenye kutuma na kupokea pesa, kodi pekee iwe 40%. Kama unataka kutuma shilingi 100,000, kodi ya kutuma na kupokea iwe sh 40,000.

Usiwe na shaka, wa kukushangilia utawapata wengi.
 
Airtel siwaelewi, nikitaka kununua bundle la Internet la siku 1 wananilazimisha kununua kwa Airtel Money wakati kwenye simu nina Salio, nikitaka kununua kwa Salio wananilazimisha kununua kuanzia bundle la wiki.

Sijui wengine mnaotumia mtandao wa Airtel ili linawakumba?
 
....

Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.

Kumbe walipitisha makato mapya ktk miamala ya fedha ktk simu...

Na wakapitisha Kodi ya laini ya simu...

Hawa wabunge ni wa Taiwan au Tanzania? Mbona ni mzigo mkubwa kwa watumiaji wa simu...
 
Tuweke kumbukumbu sawa! Ile sio kodi, bali ni mchango wa maendeleo. (Hata mfuko wa makusanyo ni tofauti).
Kama huku vijijini tunapotoa fedha na kufanya harambee za nguvu kazi (maarufu kama msaragambo, songa mbele, n.).
Sasa serikali imeleta msaragambo wa kidigitali!
Yaani tunalipa kodi ya maendeleo, tunajituma kufyatua tofali, n.k ili kujenga shule, zahanati, n.k, tunatoa fedha, mashamba n.k ili kufanikisha miundo mbinu ya huduma, na sasa tunaongezewa tena tozo.
Sasa ngoja hizo huduma tusizipate, na hizi tozo ziongezeke mara dufu hata baada ya 2025.
Labda ufanyike 'uchafuzi' mkuu hiyo 2025 kama uliofanyika 2020.
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali.

Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
Hivi kumbe hadi miamala wameongeza kodi mimi nilijua ni kodi za umiliki wa lain za simu
 
yaani hii serikali ilitakiwa waliokua seeikali ya Magufuli wote wapigwe chini Samia aanze upya sio kuhamisha vitengo hawana akiki hawa...
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali.

Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
Tatizo wananchi sio waelewa....

Utasikia mitandao ya simu wezi sana...., Kumbe masikini hawajui ni nini kinaendelea... hao wanaowapigia makofi na kudhani wanawatetea ndio wanyonyaji wakubwa, gharama zikiwa kubwa ni watu kurudi enzi za Zama za Kale..., Kukupa pesa mpaka tukutane ana kwa ana.....
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali.

Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
Sawa Serikali ianze kuwalipa watumishi wake telephone allowance maana wengi wao wanatumia simu binafsi kwa kazi za serikali, serikali haiwezi kufaidika mara mbili toka kwa mtumishi huyohuyo
 
UVCCM ningeona wanakili sana kama wangepambana hoja kama hizi wao wanapambana na Mdude, jinga kabisa
Sio tu UVCCM bali Watanzania wote, hii nchi bahati mbaya tuna kiwango cha kutisha cha Uoga
 
Back
Top Bottom