Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kazi iendelee.Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali.
Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
....
Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
Hivi kumbe hadi miamala wameongeza kodi mimi nilijua ni kodi za umiliki wa lain za simuWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali.
Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
Tatizo wananchi sio waelewa....Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali.
Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
Sawa Serikali ianze kuwalipa watumishi wake telephone allowance maana wengi wao wanatumia simu binafsi kwa kazi za serikali, serikali haiwezi kufaidika mara mbili toka kwa mtumishi huyohuyoWaziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali.
Hivi karibuni Bunge lilipitisha tozo kuanzia Sh10 hadi Sh10,000 itakayotozwa kwa kila muamala wa kutuma/kupokea fedha.
Sio tu UVCCM bali Watanzania wote, hii nchi bahati mbaya tuna kiwango cha kutisha cha UogaUVCCM ningeona wanakili sana kama wangepambana hoja kama hizi wao wanapambana na Mdude, jinga kabisa
Utalipa huna ujanjaWakati Kodi zinakuja za hovyo watu wako bize kujadili kauli ya Mdedu[emoji23][emoji23]