Mwigulu Nchemba, bingwa wa uchumi ever seen here in Tanzania

Chikenpox

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2022
Posts
784
Reaction score
1,246
Huyu jamaa ni msomi na mahiri mno wa uchumi ndio mana huwezi kukuta anakosolewa na profesa yeyote wa uchumi maana wanamuogopa sana. Maprofesa wengi waliunga unga lakini Mwingulu straight kutoka Mzumbe na alipiga first class UDSM wakati maprofesa wengi hawana hii. Profesa kama Semboja degree yake ya kwanza ni ualimu yaani B.A with education kwa hiyo siyo mchumi real.

Mwigulu hakupenda tu kufundisha UDSM lakini angependa angekuwa lecturer achana na akina Zitto wenye 2.7 GPA halafu wanajiita wachumi. Kipindi cha nyuma Zitto alikuwa anawachachafya sana Mawaziri wa Fedha kwa vi theories vyake lakini Sasa hivi amekutana na mwamba haoni pa kukosoa na akikosoa tu Mwigulu atamshukia kama mwewe.
 
GPA na uelewa wa uchumi ni vitu viwili tofauti japo mwigulu pamoja na ujinga wake lakini kichwani yuko vizuri
 
Kama Mwigulu Nchemba ni bingwa wa uchumi ever seen here in Tanzania Justinian Rweyemamu atakuwa nani sasa?
 
Huo ubavu wa kubishana na huyu Chawa umeupata wapi? Hongera though.
Wala sibishani naye.

Nelimisha jamii tu, kuna watu wengi inawezekana hawakumjua Justinian Rweyemamu, lakini kwa kupitia uzi huu watajifunza kumbe kulikuwa na magwiji hawa miaka hiyo.
 
Wala sibishani naye.

Nelimisha jamii tu, kuna watu wengi inawezekana hawakumjua Justinian Rweyemamu, lakini kwa kupitia uzi huu watajifunza kumbe kulikuwa na magwiji hawa miaka hiyo.

Ni kwa sababu elimu yake haikuisaidia chochote Tz chini ya uchumi wa ujamaa wa Nyerere na CCM yake ambayo wameifirigiza nchi kuliko kuzimu
 
Naunga mkono hoja, Wapinzani wake Wana chuki Kwa sababu Kila kikinyao inaangukia pua 🤣🤣
 
Kama Mwigulu Nchemba ni bingwa wa uchumi ever seen here in Tanzania Justinian Rweyemamu atakuwa nani sasa?
Huyo Rweyemamu aliiwaza Tanzania ya miaka 1000 mbele yake tatizo aliokuwa akiwaeleza hawakumuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…