Huyu jamaa ni msomi na mahiri mno wa uchumi ndo mana huwezi kukuta anakosolewa na prof yeyote wa uchumi mana wanamuogopa sana. Maprof wengi waliunga unga lakini mwinguru straight kutoka mzumbe na alipiga first class udsm wakati maprof wengi hawana hii. Prof kama semboja degree yake ya kwanza ni ualimu yaani B.A with education kwa hiyo siyo mchumi real.
Mwigulu hakupenda tu kufundisha udsm lakini angependa angekuwa lecturer achana na akina zitto wenye 2.7 GPA halafu wanajiita wachumi. Kipindi cha nyuma zitto alikuwa anawachachafya sana mawazili wa fedha kwa vi theories vyake lakini Sasa hivi amekutana na mwamba haoni pa kukosoa na akikosoa tu mwigulu atamshukia kama mwewe.