Haya mamikopo ndio chanzo cha hii nchi kuendelea kuwa maskini. Na ndio chanzo kwanini haita endelea.Mwigulu Nchemba: Deni la Taifa ni tofauti na fedha ya kwenye ATM. Asema amesaini malipo ya deni lilikopwa kabla hajazaliwa
Ni matapeli makubwaHalafu wakikopa na kutengeneza miradi kitapeli bado utasikia kuwa yote yanfanyika kwa kutumia pesa ndani.
Hatari snNa wao wanayokopa watalipa ambao hawajazaliwa na bara bara au Reli zikijengwa watapita ambao leo wao wakisaini wao walikua hawajazaliwa..ni kanuni ya maendeleo.
Si kwa samia.... Utawala wake umenyooka mama anaupiga mwingi hababaishiNi matapeli makubwa
Amenyooka kwenye familia akoSi kwa samia.... Utawala wake umenyooka mama anaupiga mwingi hababaishi
Mpaka kwenye familia yako na mmeo ndo maana una uhuru na amani ya kupostAmenyooka kwenye familia ako
Kaamua kujidogeshaMpuuzi na mjinga huyu, 1985 alikuwa hajazaliwa?
NImekaa hapa na maza ako tunapiga tory kdgMpaka kwenye familia yako na mmeo ndo maana una uhuru na amani ya kupost
Ndiyo ujue tunaongozwa na matapeliKaamua kujidogesha
Ni wapuuzi tuu ndio wanahangaika na deni la serikali, halijawahi kuwa shida popote..Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba leo ameongelea deni la Taifa. Amesema deni la Taifa sio kama fedha ya kwenye ATM ambayo unaingiza kadi na kutoa.
Mwigulu anasema anayekopa sio Rais bali Serikali na yeye amesaini kulipa deni lilikopwa awamu ya kwanza wakati hajazaliwa.
Mwigulu amesema kuna mikopo imesainiwa zawani lakini pesa zake zinatoka kwa awamu hivyo kadri inavyopokelewa ndivyo deni linatangazwa upya.