Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mwigulu ni jipuHuyu anataka kuhalalisha wizi wa mchana kweupe, yaani wanakopa wanapeleka kwenye miradi hewa mwisho wa siku tunadaiwa watanzania, halafu kesho au keshokutwa mama akitoka madarakani anaanza kusema alikuwa analazimishwa ku sign! Na hali yeye ndiye anaye mwingiza mkenge mama!
Mkubwa sasa wewe mkuu Netanyahu, anaongelea miaka hiyo ya 1970 mwanzoni.Mpuuzi na mjinga huyu, 1985 alikuwa hajazaliwa?
Deni siyo tatizo?! Taifa la Ugiriki ilitangazwa mufilisi miaka kadhaa nyuma baada ya kuzidiwa madeni. Kwa hiyo usichezee madeni kwa Taifa.Ni wapuuzi tuu ndio wanahangaika na deni la serikali, halijawahi kuwa shida popote..
Deni la US ni zaidi ya asilimia 200% ya Bajeti ya Nchi..
Sasa Tanzania tuna kideni kidogo ila makelele ya limbukeni ni shida tupu👇
Sasa unapokopa unaangalia na uwezo wako wa kulipa.Deni siyo tatizo?! Taifa la Ugiriki ilitangazwa mufilisi miaka kadhaa nyuma baada ya kuzidiwa madeni. Kwa hiyo usichezee madeni kwa Taifa.
Barabara za lami zinatokana na mikopo,hata pesa za mikopo ya elimu ya juuHaya mamikopo ndio chanzo cha hii nchi kuendelea kuwa maskini. Na ndio chanzo kwanini haita endelea.
Waziri wa hovyo snWaziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba leo ameongelea deni la Taifa. Amesema deni la Taifa sio kama fedha ya kwenye ATM ambayo unaingiza kadi na kutoa.
Mwigulu anasema anayekopa sio Rais bali Serikali na yeye amesaini kulipa deni lilikopwa awamu ya kwanza wakati hajazaliwa.
Mwigulu amesema kuna mikopo imesainiwa zamani lakini pesa zake zinatoka kwa awamu hivyo kadri inavyopokelewa ndivyo deni linatangazwa upya.