Mwigulu Nchemba: Deni la Taifa ni tofauti na fedha ya kwenye ATM. Asema amesaini malipo ya deni lilikopwa kabla hajazaliwa

Mwigulu Nchemba: Deni la Taifa ni tofauti na fedha ya kwenye ATM. Asema amesaini malipo ya deni lilikopwa kabla hajazaliwa

Tumevunja rekodi kwa kukopa Yaani mwaka jana tu tumekopa 20% ya mkopo wote hiyo ni nyingi sana kwa kusingizia infrastructure my hairy ass
Yaani tupo wa 46 katika list ya dunia
Anaongelea nini huyo hajui hali ya wananchi ikoje

Deni linalipwa? Au wanaongeza tu mzigo
Yaani wakinyimwa huku wanaenda huku

Alete akili ya kujitegemea sio bla bla bla za mikopo kila kukicha
 
Huyu anataka kuhalalisha wizi wa mchana kweupe, yaani wanakopa wanapeleka kwenye miradi hewa mwisho wa siku tunadaiwa watanzania, halafu kesho au keshokutwa mama akitoka madarakani anaanza kusema alikuwa analazimishwa ku sign! Na hali yeye ndiye anaye mwingiza mkenge mama!
Mwigulu ni jipu
 
Ni wapuuzi tuu ndio wanahangaika na deni la serikali, halijawahi kuwa shida popote..

Deni la US ni zaidi ya asilimia 200% ya Bajeti ya Nchi..

Sasa Tanzania tuna kideni kidogo ila makelele ya limbukeni ni shida tupu👇
Deni siyo tatizo?! Taifa la Ugiriki ilitangazwa mufilisi miaka kadhaa nyuma baada ya kuzidiwa madeni. Kwa hiyo usichezee madeni kwa Taifa.
 
Deni siyo tatizo?! Taifa la Ugiriki ilitangazwa mufilisi miaka kadhaa nyuma baada ya kuzidiwa madeni. Kwa hiyo usichezee madeni kwa Taifa.
Sasa unapokopa unaangalia na uwezo wako wa kulipa.

Pia kuleta mfano wa Ugiriki sio sawa kwa sababu kilichowafikisha huko ni kutegemea sekta moja kwenye uchumi so ilipopata shida ndio Nchi ikatangazwa kushindwa kulipa madeni..

The same to Zambia,Sri Lanka nk, Tanzania hilo haliwezi kutokea kwa sababu tunategemea sekta nyingi kuendesha Uchumi..
 
Kichaa🐒🐒🐒
0_20220405_150639.jpg
 
Tumemuelewa vizuri sana, ahsante sana Dr. Mwigulu kwa ufafanuzi mzuri.
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba leo ameongelea deni la Taifa. Amesema deni la Taifa sio kama fedha ya kwenye ATM ambayo unaingiza kadi na kutoa.

Mwigulu anasema anayekopa sio Rais bali Serikali na yeye amesaini kulipa deni lilikopwa awamu ya kwanza wakati hajazaliwa.

Mwigulu amesema kuna mikopo imesainiwa zamani lakini pesa zake zinatoka kwa awamu hivyo kadri inavyopokelewa ndivyo deni linatangazwa upya.


Waziri wa hovyo sn
 
Kwakweli wakoloni wanaakili sana. Wamegundua dawa ya kukolize upya ni kutulundikia mamikopo tu, wanajua kulipa kutarusumbua, kinachofuata ni kuchukua rasilimali tu
 
Mkopo wa SGR ambao Samia alisema kuwa ilibidi kukopa ili kulipa Deni tena kwa ushauri wako Lameck

Wana Iramba hapa walipoteza kabisa.
 
Back
Top Bottom