Mwigulu Nchemba hafiki 2030 akiwa Waziri Mkuu

Nsumba-ntale

Member
Joined
May 24, 2026
Posts
15
Reaction score
80
Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali

Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa vitendo, ni kazi bure!

Atasukiwa zengwe litakalo zidi la mwendazake Lowassa na atalazimishwa ku-resign. Watoto wa mjini ambao ni wapokea maelekezo ya wakubwa kwenye upigaji, abadani hawawezi kumwacha salama, lazima watamsemelea tu

Ni vigumu mno kwa Mwigulu kuifikia 2030 kama PM kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano

Mda ni Mwalimu mzuri!
 
Nawe haziko sawa kwa hiyo umemuona Mwigulu ni waziri Mkuu wa kuonewa wivu? Huyo hafiki si kwa sababu ya uongozi wake bali kwa sababu nature haiwatambui kama viongozi kwa sababu wamejipachika na soon wataanza kugeukana. Wazungu husema there is no honor among thieves
 
Mwanaharakati,ng'ombe la mange,maria, Hilda.. ng'ombe lenye pepopunda,halifikiri,limeacha malllayya wafikiri kwa niaba yake
 
Nipo na popcorn pembeni hapa Na zoom mbwembwe zake

Sasa hivi wanamkongomeka misumari ya boti kama Yesu ajifarague tu zake zinahesabika

Njia anayojipata ina maumivu haina maigizo hata kama hukupanga itakufanya

We subiri tu atajua hajui
 
Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali

Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa vitendo, ni kazi bure!

Atasukiwa zengwe litakalo zidi la mwendazake Lowassa na atalazimishwa ku-resign. Watoto wa mjini ambao ni wapokea maelekezo ya wakubwa kwenye upigaji, abadani hawawezi kumwacha salama, lazima watamsemelea tu

Ni vigumu mno kwa Mwigulu kuifikia 2030 kama PM kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano

Mda ni Mwalimu mzuri!
Uwepo wake ni mdogo.
 
Atafika tuu, hakuna kurudi nyuma!
 
Mwanaharakati,ng'ombe la mange,maria, Hilda.. ng'ombe lenye pepopunda,halifikiri,limeacha malllayya wafikiri kwa niaba yake
Mwanaharati (advocacy) unajua maana yake??
Usibweke kama mbwa Koko. Kila mtu ni mwana harakati katika eneo lake?
Huyo Samia anaenda urusi kwa sababu ya uanaharakati.
Wale JW waliouwa watu hapo October 29 ni wanaharakati pia
Kenge maji wewe.
 
Back
Top Bottom