Nsumba-ntale
Member
- May 24, 2026
- 15
- 80
Mwanaharakati,ng'ombe la mange,maria, Hilda.. ng'ombe lenye pepopunda,halifikiri,limeacha malllayya wafikiri kwa niaba yakeNawe haziko sawa kwa hiyo umemuona Mwigulu ni waziri Mkuu wa kuonewa wivu? Huyo hafiki si kwa sababu ya uongozi wake bali kwa sababu nature haiwatambui kama viongozi kwa sababu wamejipachika na soon wataanza kugeukana. Wazungu husema there is no honor among thieves
Uwepo wake ni mdogo.Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali
Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa vitendo, ni kazi bure!
Atasukiwa zengwe litakalo zidi la mwendazake Lowassa na atalazimishwa ku-resign. Watoto wa mjini ambao ni wapokea maelekezo ya wakubwa kwenye upigaji, abadani hawawezi kumwacha salama, lazima watamsemelea tu
Ni vigumu mno kwa Mwigulu kuifikia 2030 kama PM kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Mda ni Mwalimu mzuri!
Sidhani kama wanaweza kurisk cabinet reshuffle!! Ingawa dalili za kuwa Waziri Mkuu wa muda mfupi kwa mbali sana vile!Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali
Nimependa ulivyoandika hapa hivi Magu alimpiga chini Madilu kisha akampiga chini DAB halafu au basilazima watamsemelea tu
Atafika tuu, hakuna kurudi nyuma!Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali
Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa vitendo, ni kazi bure!
Atasukiwa zengwe litakalo zidi la mwendazake Lowassa na atalazimishwa ku-resign. Watoto wa mjini ambao ni wapokea maelekezo ya wakubwa kwenye upigaji, abadani hawawezi kumwacha salama, lazima watamsemelea tu
Ni vigumu mno kwa Mwigulu kuifikia 2030 kama PM kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Mda ni Mwalimu mzuri!
Mwanaharati (advocacy) unajua maana yake??Mwanaharakati,ng'ombe la mange,maria, Hilda.. ng'ombe lenye pepopunda,halifikiri,limeacha malllayya wafikiri kwa niaba yake