Yani uwaziri mkuu umetufanya tuujue ubumunda wakeHuu uwaziri mkuu umemfunua Mchemba, kuwa hafai kuwa president material anapwaya sana
Kile kilichofanyika jana ni mission ya mwigulu pure haihitaji hata akili mbili kutambua hiloUkitaka kujua Mwigulu anawaza nini, mtazame Habib Mchange au The big show anaongea nini, hapo ndio utajua akili ya Mwigulu inagota wapi.
Ishapita hiyo ikirudi panchaWana Jukwaa,
Tafadhalini sana naomba mpokee ujumbe kutoka kwa watu wa karibu na Mwigulu Nchemba wamesema Mwigulu hahusiki kwa namna yoyote kuratibu maandamano ya makundi ya kulichafua Kanisa Katoliki.
Pamoja na Mwigulu kuonekana na picha ya mmoja wa waratibu wa maandamano hayo ndugu Ludovick lakini tuhuma anazoelekezewa zinalenga kumchafua na kumchonganisha na waumini wa Kanisa Katoliki na kwamba hazina ukweli.
Acheni uzushi wa vita ya urais 2030, ni zamu ya Mkristo, na rais wa JMT akiwa Mkristo ni lazima awe ni ...
anayemfuatia Rais Samia ni Nchimbi, tembelea mada HII ujue kwa nini anayamfuatia Rais Samia ni Nchimbi.
Muambie Bosi wako aache mambo ya kitoto. Kanisa Katoliki siyo taasisi ya kuyumbishwa na vilaza, malofa, waimba taarabu za vichambo, na wavaa vijora/madera.Kama mwigulu siyo katoliki,basi jua hizo ni figisu za 2030,malecela anawajua vizuri hao kwa figisu