Mwigulu Nchemba: Hii ndio Yanga ya Mama Samia.

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
“Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo dhidi ya mtani.” Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba.
 
Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao

Hawa ni Walezi wa kila Team
 
ila mama samia ni simba
 
Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao

Hawa ni Walezi wa kila Team
 
Attachments

  • 20231105_171846.jpg
    20231105_171846.jpg
    491.4 KB · Views: 3
  • 20231105_171816.jpg
    20231105_171816.jpg
    440.2 KB · Views: 2
“Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo dhidi ya mtani.” Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba.
Chawa hawajawai kua watu wazuri huyo mwigilu atueleze matrilioni yetu ya pesa yapo wap Cc.luaga mpinaa
 
Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao

Hawa ni Walezi wa kila Team
Leo hiyooo..!!!! Unadhani wao hawana moyo..!?
 
“Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo dhidi ya mtani.” Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba.
Madelu kaitelekeza Singida Big Stars
 
Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao

Hawa ni Walezi wa kila Team
tulieni sindano ziwaingie mpone hayo maradhi yenu. Umeshamsahau Prof. Juma Kapuya? au umezaliwa juzi. Kapuya alikuwa kiongozi mkubwa na kamwe hakuficha u-simba wake na tena mnazi kuliko nyie vitoto vya siku hizi. Viongozi nao wana hisia wacha wajiachie na furaha walizonazo
 
Mkumbushe ya juzi tuu hapa ya Wakina Makonda na Jiwe wake walivyoinyanyasha Yanga na Manji wake.
 
Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao

Hawa ni Walezi wa kila Team
Katelefon, Ndugai na Bashite walikua hawajifichi wakati wa JIWE.
 
Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao

Hawa ni Walezi wa kila Team
Yamekuwa hayo? Kassimu, Ndugai, Zungu, Kapuya and likes hawa waliwahi kuficha mapenzi yao?

Ile Kamati aliyoiteuwa Gabachori wenu Mwamedi unajuwa Mwenyekiti. Wake mi Jaji wa mahakama kuu?

Hivi wewe ni mbumbumbu wa kiwango cha kutokujuwa bungeni kuna timu za simba na Yanga na wabunge huwa wanapambana derby yao?

Kweli hiki kipigo cha mbwa koko kimewafyatuwa watu akili.
 
Back
Top Bottom