Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Selemani GENTAMYCINEMtu mfupi GENTAMYCINE huu uzi utamkera sana maana kipigo cha jana kimewaingia barabara.
“Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo dhidi ya mtani.” Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba.
Hiyo ni wewe umesema hapa jongo kila mtu anateam yake na hakuna unafki kwa hilo..Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao
Hawa ni Walezi wa kila Team
ila mama samia ni simba“Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo dhidi ya mtani.” Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba.
Kadi namba ngapi?ila mama samia ni simba
Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao
Hawa ni Walezi wa kila Team
Chawa hawajawai kua watu wazuri huyo mwigilu atueleze matrilioni yetu ya pesa yapo wap Cc.luaga mpinaa“Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo dhidi ya mtani.” Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba.
Kama inauma chomoaChawa hawajawai kua watu wazuri huyo mwigilu atueleze matrilioni yetu ya pesa yapo wap Cc.luaga mpinaa
Inafungwa Barcelona sembuse sisi Simba 😂😂😂🤣🤣🤣Kama inauma chomoa
5GInafungwa Barcelona sembuse sisi Simba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haaa haaa haaa selemami GENTAMYCINESelemani GENTAMYCINE
Leo hiyooo..!!!! Unadhani wao hawana moyo..!?Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao
Hawa ni Walezi wa kila Team
Madelu kaitelekeza Singida Big Stars“Ukweli usemwe, ushindi wa bao tano dhidi ya mtani si kila timu inaweza. Hii ndo Yanga ya Dkt Samia, Tupewe maua yetu, na huu ndio mwendo wetu mpya. Hongereni sana Wananchi kwa ushindi wa kishindo dhidi ya mtani.” Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba.
Na tutakoma mpaka wiki hii ipite 😂😂🤣🤣 ila ndio football game
tulieni sindano ziwaingie mpone hayo maradhi yenu. Umeshamsahau Prof. Juma Kapuya? au umezaliwa juzi. Kapuya alikuwa kiongozi mkubwa na kamwe hakuficha u-simba wake na tena mnazi kuliko nyie vitoto vya siku hizi. Viongozi nao wana hisia wacha wajiachie na furaha walizonazoViongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao
Hawa ni Walezi wa kila Team
Mkumbushe ya juzi tuu hapa ya Wakina Makonda na Jiwe wake walivyoinyanyasha Yanga na Manji wake.tulieni sindano ziwaingie mpone hayo maradhi yenu. Umeshamsahau Prof. Juma Kapuya? au umezaliwa juzi. Kapuya alikuwa kiongozi mkubwa na kamwe hakuficha u-simba wake na tena mnazi kuliko nyie vitoto vya siku hizi. Viongozi nao wana hisia wacha wajiachie na furaha walizonazo
Katelefon, Ndugai na Bashite walikua hawajifichi wakati wa JIWE.Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao
Hawa ni Walezi wa kila Team
Yamekuwa hayo? Kassimu, Ndugai, Zungu, Kapuya and likes hawa waliwahi kuficha mapenzi yao?Viongozi wa Serikali Hawapaswi kuegemea upande wa Team yoyote. Hata Kama wana Mahaba na Team fulani; wanapaswa kuficha Mahaba yao
Hawa ni Walezi wa kila Team