Kama alishasema juu ya kutumia barakoa hawezi kushindwa kusema hiloHawezi kusema, ana misimamo anayoijua mwenyewe.
Atatupia lawama kwa mabeberu kisha ataendelea kuchapa kazi....
Mimi ningekuwa kiongozi wa nchi hii ( iko siku nitakuwa ) siwezi kumpa cheo chochote mtu kama Mwigulu , ana uwezo wa chini sana !
Public figures have to keep their words 'viongozi wa kitaifa wanatakiwa watunze kauli zao wengi wao wanapenda kuongoza kwa matamko na vitisho hawajui kwamba kuna watu wana umri mkubwa kuliko wao pia wengi wanauwezo mzuri wa kifikiri kuliko wao wakumbuke kwamba vyeo hivi ni dhamana tuWaziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua....
You must be joking! ...Tangu lini judiciary ikawa chini ya waziri?
Umenikumbusha hata mimi..😂😂😂You must be joking! ...Tangu lini judiciary ikawa chini ya waziri?
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua...
Mtafute huko TwitterAccount gani anatumia na Mimi nikamtukane kidogo
Wahaya huwa ni watu wenye dharau snMama Kamugisha umeanza matusi ya rejareja? Unasema Mwigulu aachane na majobless, kwahiyo wanaomjibu Mwigulu ni majobless?!
Alishagombeaga Urais..imergine angepata Urais
Hivi nyie wahaya mtaacha lini dharau zenu? mwenzako naye alisema milioni 10 ni pesa ya mboga, jobless people unawalisha wewe au familia zao unazihudumia? tena wengine yupo nao ofisini kwake lakini wanamtukana kwa fake ID sababu ya dharau zake kama wewe ulivyonadharauWaziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.
Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.
Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.
Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.
Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Anatetea ugali wake mahali pasipo sahihiNchemba, usiabudu mtu, huyo mtu akifa au asipokuwa madarakani utapata tabu sana
Ni mtu wa hovyo snMwigulu ni katili kuliko Magu, na yoyote anayepishana naye kimtazamo huwaza kumuua tu. Mwigulu amekuwa na sifa ya mauaji kuliko hayo mengine anayodhani anayeweza.
Huyo hakuwahi kujua majukumu yake, unakalia wizara yeye watu wasomi kama MAHAKIMU,MAJAJI, MUHIMILI WA MAHAKAMA upo chini yako lakini leo unahangaika kutwa nzima na mambo madogo madogo. Mwigulu kufanya kazi serikalini hawezi hata kidogo. Huyu alitakiwa abakie kwenye chama aendelee ku-editi video kama zile za kina Lwakatare.
WananunuaNa eti ni PhD holder huyu. Sijui huwa wanasaidiwa kuresearch na kuandikiwa report?
Nikweli 'he is not biased'Ukitoa Mzee Mkuchika sioni waziri mwingine
Dingi yupo fair sn huwezi sikia anatukana mtuNikweli 'he is not biased'