Mwigulu Nchemba hujaajiriwa na mitandao, majibu yao kwako yanadhalilisha nafasi yako ya Uwaziri. Kaa kimya...

Mwigulu Nchemba hujaajiriwa na mitandao, majibu yao kwako yanadhalilisha nafasi yako ya Uwaziri. Kaa kimya...

Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua....
Public figures have to keep their words 'viongozi wa kitaifa wanatakiwa watunze kauli zao wengi wao wanapenda kuongoza kwa matamko na vitisho hawajui kwamba kuna watu wana umri mkubwa kuliko wao pia wengi wanauwezo mzuri wa kifikiri kuliko wao wakumbuke kwamba vyeo hivi ni dhamana tu
 
Nchemba tatizo anacheza ngoma isiyo yake.
Wananchi tunajua kuwa naye alikuwa hapendezwi na uonevu uliokuwa ukifanywa na serikali hii ya Magufuli dhidi ya wananchi.

Tunajua kwa sababu alipokuwa benchi alikuwa akiongea na rafiki zake wa karibu dhidi ya unyama na uharibifu wa uchumi unaofanywa na Jiwe.

Nashangaa anatoka huko leo anabebea bango vitu ambavyo havimhusu.

Nchemba, usiabudu mtu, huyo mtu akifa au asipokuwa madarakani utapata tabu sana
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua...

Mama Kamugisha umeanza matusi ya rejareja? Unasema Mwigulu aachane na majobless, kwahiyo wanaomjibu Mwigulu ni majobless?!
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Hivi nyie wahaya mtaacha lini dharau zenu? mwenzako naye alisema milioni 10 ni pesa ya mboga, jobless people unawalisha wewe au familia zao unazihudumia? tena wengine yupo nao ofisini kwake lakini wanamtukana kwa fake ID sababu ya dharau zake kama wewe ulivyonadharau
 
Hatuna Waziri pale. Waziri gani kutwa kuchwa anatupiana maneno na watu mitandaoni? Huyu mtu uwezo wake wa kufikiri upo chini sana.

Na eti ni PhD holder huyu. Sijui huwa wanasaidiwa kuresearch na kuandikiwa report?
 
Huyo hakuwahi kujua majukumu yake, unakalia wizara yeye watu wasomi kama MAHAKIMU,MAJAJI, MUHIMILI WA MAHAKAMA upo chini yako lakini leo unahangaika kutwa nzima na mambo madogo madogo. Mwigulu kufanya kazi serikalini hawezi hata kidogo. Huyu alitakiwa abakie kwenye chama aendelee ku-editi video kama zile za kina Lwakatare.

Uzuri anajijua kuwa watu hawamwelewi vile alivyo kumbe jamii inamwelewaa kwa undani kwa kiwango cha dna
 
Back
Top Bottom