Mwigulu Nchemba hujaajiriwa na mitandao, majibu yao kwako yanadhalilisha nafasi yako ya Uwaziri. Kaa kimya...

Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
Jobless people wapo lumumba acha kudhihaki watu, punguani waheed wewe!
 
Wewe mhaya kimekuwasha vizuri sn
Nini kimeniwasha? Na kama ilivyo kawaida kwa zezeta tayari umerukia kunitaja kuwa mhaya bila uthibitisho wowote. Pinga hoja kama waweza wewe kilaza. Kama ni dharau hakuna dharau zaidi ya kumuita Madelu, mtu wa hovyo sana!
 
Huyo hakuwahi kujua majukumu yake, unakalia wizara yeye watu wasomi kama MAHAKIMU,MAJAJI, MUHIMILI WA MAHAKAMA upo chini yako lakini leo unahangaika kutwa nzima na mambo madogo madogo. Mwigulu kufanya kazi serikalini hawezi hata kidogo. Huyu alitakiwa abakie kwenye chama aendelee ku-editi video kama zile za kina Lwakatare.
Hivi yale matangazo ya kwenye mawe nchi nzima alilipia ?
IMG-20190826-WA0000.jpg
 
Sura ya Mwigulu Nchemba ina kinzana sana na tabia yake. Zamani nilikuwa na mheshimu sana lakini siku za hivi karibuni anatoa majibu ya kijeuri na kiburi kikubwa bila kutumia hata brain. Ushabiki na tabia ya kulamba viatu inaweza ikufanye uonekane kituko. Mwigulu kwa kweli is desparate. Sometime angenyamaza maana isingemgharimu chochote maana kuna neno linasema A SILENT FOOL IS COUNTED WISE"
 
Nini kimeniwasha? Na kama ilivyo kawaida kwa zezeta tayari umerukia kunitaja kuwa mhaya bila uthibitisho wowote. Pinga hoja kama waweza wewe kilaza. Kama ni dharau hakuna dharau zaidi ya kumuita Madelu, mtu wa hovyo sana!
Tulia sumu iingie vizuri
 
Kwanza akiwa anajibu hoja..mitandaoni ana jibu utumbo. Propaganda tupu hana tofauti na yule M/kiti wa CCM MKOA wa MARA. Akiwa ana jibu hoja Bungeni ana jibu utumbo tu. Hajibu kama Profession ya Waziri wa Katiba na Sheria inavyotaka (Neutral and stick to the Law).

Kazi ipo!
 
Sura ya Mwigulu Nchemba ina kinzana sana na tabia yake. Zamani nilikuwa na mheshimu sana lakini siku za hivi karibuni anatoa majibu ya kijeuri na kiburi kikubwa bila kutumia hata brain. Ushabiki na tabia ya kulamba viatu inaweza ikufanye uonekane kituko. Mwigulu kwa kweli is desparate. Sometime angenyamaza maana isingemgharimu chochote maana kuna neno linasema A SILENT FOOL IS COUNTED WISE"
Ana Mtindio wa Ubongo basi tu kachangamka
 
Waziri ni cheo kikubwa sana, si cheo cha kufafanua hoja mitandaoni ni cheo cha kushughulika na changamoto za Wizara na kuzitatua.

Mwigulu ameshindwa kuzuia hisia zake, ameshindwa kujua yeye siyo mwenezi wa chama na jamii anayoiongoza haipaswi kushuhudia akitukanwa mitandaoni.

Hii Hali ilimtokea Kigwangala akajiona yeye ni updated kuliko wote na anadamu inayochemka kutetea wakubwa zake lakini mwisho wa siku alitumbuliwa kwa kushindwa kutoa huduma kwa kiwango tarajiwa.

Naona Mwigulu anawaza ukubwa zaidi ila nikiwa dada yake naomba nimkanye, aachane na jobless people ajikite kwenye kazi ya kuongoza Wizara.

Uwezi kutoa lugha chafu au akaunti yako ikajaa matusi then ukawasaka waliokutukana, utakuwa unawachokoza wakutukane utumie madaraka vibaya.
cheo gani kidogo ndo kinapaswa kujibu?
 
Back
Top Bottom