Mwigulu Nchemba, Kauli zako zinahatarisha Usalama wa Nchi

"Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali "

Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu.

Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
Gentleman,
punguza mihemko useless na upotoshaji nonsense jukwaani dhidi ya waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba, na itapendeza zaidi 🐒
 
"Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali "

Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu.

Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
Hivi Boss wake hamuoni kuwa anaropoka?
 
"Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali "

Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu.

Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
Amesema ni kina nani hao wana hiyo mipango?
 
Dereva kalala gari liko na konda waruu kabisa kichwa kimejaa madasha gari inayumba njia nzima
 
Back
Top Bottom