Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Gentleman,"Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali "
Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu.
Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
Hivi Boss wake hamuoni kuwa anaropoka?"Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali "
Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu.
Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
Gentleman,
punguza mihemko useless na upotoshaji nonsense jukwaani dhidi ya waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba, na itapendeza zaidi ๐
Amesema ni kina nani hao wana hiyo mipango?"Wamepanga kupiga Risasi Waandamanaji ili Waseme ni Serikali "
Hiii Kauli haikupaswa kutolewa na Mtu wa aina yako kiuongozi hata km ni Serikali Haramu.
Hii ni Kauli inayovua Nguo Vyombo vya Usalama na wakati huohuo kuweka Usalama wa NCHI hatarini.
Boss low IQ, yeye pia haoni kama kuna shidaHivi Boss wake hamuoni kuwa anaropoka?
Elimu mbali mbaliBoss low IQ, yeye pia haoni kama kuna shida