figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Jana katambi alivomaliza kusikiliza changamoto za madereva speaker za pale Stendi zikaanza kutangaza kuanza kwa safari Kuna basi la Mwanza lilikua linatoka walipigiwa kelele lilizingirwa ndani ya dakika chache haieleweki hata abiria walishushwaje.Mmmh
Dudubaya mwenyewe alimdindia na hakumfanya chochote sasa ndio iwe kwa madereva. Yaani katambi alitakiwa awe mtendaji wa kijiji.Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.
Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.
Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala hasikilizwi. Hata sijui hiyo nafasi kaipataje. Unashindwa kutatua kero za madereva, Unaishia kubandua plate number
Umenikosha sana ulivyomuita madelu kwa jina lake pasipo kuanza na neno waziri haramu mkuu!Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.
Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.
Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala hasikilizwi. Hata sijui hiyo nafasi kaipataje. Unashindwa kutatua kero za madereva, Unaishia kubandua plate number
😂😂😂Jana katambi alivomaliza kusikiliza changamoto za madereva speaker za pale Stendi zikaanza kutangaza kuanza kwa safari Kuna basi la Mwanza lilikua linatoka walipigiwa kelele lilizingirwa ndani ya dakika chache haieleweki hata abiria walishushwaje.
Nyakati kama hizi ni wakati wa kupima uwezo wa viongozi.Mmmh
Anaona anapata hasara Bus zake za Esther haziafanyi kazi.Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.
Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.
Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala hasikilizwi. Hata sijui hiyo nafasi kaipataje. Unashindwa kutatua kero za madereva, Unaishia kubandua plate number
Viongozi..au watoto..? mtu ana clip za pornography mtandaoni anakuwaje DC..!Alianza Msando, akaja na ubabe wake. Mtu unaenda kutatua kero alafu unaleta ubabe. Ile kauli yake ya kupeleka magari yard ilikuwa ya kipumbavu sana. Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana.
Chukua pepsi baridi nitalipa mkuu!Mtu pekee anaesikilizwa kwa sasa tanganyika ni JOHN HECHE
nafasi ya katambi inanyemelewa sana na makonda na kama ataipata Tanzania tutarushwa kichurachura dailyDudubaya mwenyewe alimdindia na hakumfanya chochote sasa ndio iwe kwa madereva. Yaani katambi alitakiwa awe mtendaji wa kijiji.
Watanzania taifa letu kunashida kubwa kuliko macho na akili zetu zionavyo,kuelekea oct29,zilitokea vurugu za mwendokazi kinara,je dalili ya migomo hivi Leo ni ishara gani,?Je huu uholela kwenye kila Jambo ndani ya taifa hili ni salama kwa Nani?Mzee P,ikibidi nitakuuliza wewe na wenzio kwenye Tania ya Habari je kwenu hamna Wazee?Ama kwenu Wazee ni wavutabangi wazamani,na Wazee wa kilo?Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.
Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam.
Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala hasikilizwi. Hata sijui hiyo nafasi kaipataje. Unashindwa kutatua kero za madereva, Unaishia kubandua plate number
Tegeme kusikia neno guys mara 100Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva.